SERIKALI YAJENGA MAABARA YA KISASA YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU YA KUAMBUKIZWA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI TISA MKOANI KILIMANJARO
![](https://1.bp.blogspot.com/-baSezXflmy4/XvBrE-tZeNI/AAAAAAALu3I/5L5VsrrqQw87hI3wa9x6KAUTQ0tmWSWzACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-22%2Bat%2B9.32.34%2BAM.jpeg)
Na WAMJW- KILIMANJARO.
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imejenga Maabara ya Kisasa ya uchunguzi wa magonjwa ya binadamu ya kuambukiza yenye thamani ya shilingi Bilion tisa katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Maabara hiyo ikiwa inaelekea kukamilika ili kuanza kutoa huduma za uchunguzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Nov
NHIF YAJENGA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA
![1](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/r-tQZqy8PH7f_inBM6_Ovwu3tsLLHkq3SmHT1mG1kk-TUZkvVr7Hzolv5zo6SIMvgw0E6BdfLXG6mdTap2GCbaxcJCC_Dw7vM2JW6ChZPit4mX7IbiuN=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/132.jpg)
10 years ago
Michuzi14 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU MKOANI DODOMA
![1](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/r-tQZqy8PH7f_inBM6_Ovwu3tsLLHkq3SmHT1mG1kk-TUZkvVr7Hzolv5zo6SIMvgw0E6BdfLXG6mdTap2GCbaxcJCC_Dw7vM2JW6ChZPit4mX7IbiuN=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/132.jpg)
Kituo hiki kitahudumia wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa ya jirani ya na mkoa wa Dodoma na kinajengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa gharama ya shilingi Bilioni 36 ambazo zimetolewa na mfuko huo kwa silimia 100.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wanaohudhuria kongamano la Mfuko...
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-6uZC2qqFLE4/VGR-asVfGRI/AAAAAAAGw48/ZPiH2BXcPmQ/s1600/7.jpg)
Kwa mujibu wa Profesa Shaban Mlacha,amesema kuwa kituo hicho kitajikita zaidi kwenye magonjwa ya uchunguzi /Utafiti na...
9 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2
![1214-floyd-mayweather-tmz-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1214-floyd-mayweather-tmz-2-300x194.jpg)
Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.
Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.
Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”
Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.
Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.
Hii ni mara ya...
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Mradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo , Nachingwea
Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Hayo yamesemwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya mradi wa Mwanamke...
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
GPLMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
5 years ago
Michuzi24 Jun
MCHIMBAJI MDOGO WA MADINI YA TANZANITE KUTAMBULIWA RASMI KUWA BILIONEA BAADA YA KUPATA MAWE MAWILI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 7.8
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/WhatsApp-Image-2020-06-24-at-10.41.08.jpeg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PHOTO-2020-06-24-09-40-50.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo Wizara inamtabua Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Bw. Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8. Katibu Mkuu amesema kuwa mchimbaji...