Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tazara yapata injini na mabehewa mapya

Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia TAZARA imepokea injini nne mpya za umeme zinazotumia mafuta ya dizeli pamoja na mabehewa 18 ya abiria yote kwa thamani ya dola milioni 22.4.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MABEHEWA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dkt. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya jijini Dar es salaam leo Desemba 8,2014.Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akiangalia jiko ambalo liko ndani ya behewa la daraja la pili kwenye moja ya mabehewa 22 yaliwasili nchini mwisho wa wiki,...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yaomba mabehewa, injini za treni

SERIKALI ya Uingereza inatafakari ombi la Tanzania la mabehewa na injini za treni, ambayo nchi hiyo haizitumii tena, lakini bado ni nzima kwa ajili ya kusaidia kuimarisha usafiri wa reli katika Tanzania na hasa wa Jiji la Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.Moja ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda apokea mabehewa mapya ya TRL

PG4A2793

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda  kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014  kupokea mabehewa hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2797

PG4A2800

PG4A2808

PG4A2811

PG4A2864

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri  wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli  nchini (TRL)...

 

11 years ago

Habarileo

Mabehewa mapya kuanza kuingia Julai

MABEHEWA mapya 22 ya abiria, 274 ya mizigo na 34 ya breki pamoja na vichwa vinane vipya vya treni, yanatarajiwa kuwasili kati ya Julai na Desemba mwaka huu, imefahamika.

 

10 years ago

Michuzi

MABEHEWA 22 YA TRENI YA ABIRIA YA DELUXE NI MAPYA! - TRL

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unachukua fursa hii kukanusha vikali taarifa potofu zilizoandikwa na baadhi ya magazeti kuwa mabehewa 22 ya abiria yaliyonunuliwa na Serikali kutoka Korea ya Kusini ni mabovu. Mabehewa haya yalikwisha fanyiwa majaribio na TRL kuridhika kuwa hayana kasoro yoyote.
Hoja kuwa tokea yawasili nchini mwezi Desemba , 2014 hayajaanza kutumika kwa vile ni mabovu ni upotoshaji wa ukweli. Ukweli ni kwamba kuanzia Novemba 24, 2014 TRL ilipeleka ...

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA APOKEA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa hayo.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa hayo.Waziri...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Maeneo mapya yapata maambukizi, huku idadi ya visa ikipanda Kenya

Watu 25 zaidi wamepatikana vna virusi vya corona, na kulifanya taifa la Kenya kuwa na jumla ya visa vya maambukizi 912, amesema Katibu tawala wa waziri wa Afya Rashid Aman.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 2 wajificha ndani ya injini

Mhamiaji kutoka Afrika afanikiwa kuingia Uhispania kutoka Morocco akiwa amejikunja ndani ya injini ya gari na mwingine akijificha nyuma ya kiti cha gari

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani