NEC:VIFAA VILIVYOKAMATWA SIO BVR, WALA HAVIHUSIANI VYOVYOTE NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima.Siku moja baada ya kunaswa mashine zilizosadikiwa kuwa ni za uandikishaji wapiga kura kwa njia ya kielektroniki (BVR), zilizokuwa zikiandikisha wafanyakazi wa Kiwanda cha MM Steel jijini Dar es Salaam, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeibuka na kueleza kuwa mashine hizo ni 'feki' na wala hazihusiani kwa namna yoyote na vifaa vyao.
Jaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa Chadema. Kutoka kulia ni Wakili wa chama hicho, John Malya na Reginald...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Aug
Tume ya Uchaguzi NEC yakabidhi majina ya waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye BVR kwa Jeshi la Polisi
Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Sisti Cariah (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari utaratibu wa uhifadhi wa fomu za taarifa za wananchi waliojiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, jana Alhamisi (Agosti 27, 2015)Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey.
Afisa TEHAMA katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyelo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu...
11 years ago
MichuziTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA MFUMO MPYA WA (BVR
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la kuwashirikisha waandishi wa habari ni kutokana na...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-VpQEjSa0VSI/Vbn-JGWzcDI/AAAAAAABS5w/JqIXLZiBRgk/s72-c/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAONGEZA MUDA WA KUJIANDIKISHA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-VpQEjSa0VSI/Vbn-JGWzcDI/AAAAAAABS5w/JqIXLZiBRgk/s640/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
10 years ago
Michuzi02 Jan
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) KUTUMIA BILIONI 293 KUANDIKISHA WAPIGA KURA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/1.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/2.jpg)
NA CHALILA KIBUDA ,GLOBU YA JAMII DAR
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Sep
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani
Mwenyekiti wa NEC Damian Lubuva Wednesday, September 9, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua […]
The post Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QEkXuvOtyq4/Xuw3Qhzr3LI/AAAAAAALuhQ/8MkrLGO9xakigc5NHW75W4Jwedn7T6aRACLcBGAsYHQ/s72-c/P4.jpg)
KATIBU MKUU NZUNDA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC)JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-QEkXuvOtyq4/Xuw3Qhzr3LI/AAAAAAALuhQ/8MkrLGO9xakigc5NHW75W4Jwedn7T6aRACLcBGAsYHQ/s640/P4.jpg)
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda pamoja na timu aliyoongozana nayo wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/P7.jpg)
10 years ago
VijimamboTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANZIA MEI 21 HADI JUNI 18, 2015
Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...
9 years ago
GPLNEC: VIFAA BVR FEKI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-L0PnCHpewT0/Vbz_AxWlvMI/AAAAAAAHtIM/ENz3J-ggd6k/s72-c/DSC_5634.jpg)
MBIO ZA URAIS 2015: MCHUNGAJI MTIKILA WA DP, FAHMI DOVUTWA WA UPDP,MAXMILLIAN LYIMO WA TLP WACHUKUA FOMU ZA UTEUZI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC
![](http://3.bp.blogspot.com/-L0PnCHpewT0/Vbz_AxWlvMI/AAAAAAAHtIM/ENz3J-ggd6k/s640/DSC_5634.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GohRAeWI1Mw/Vbz_A9asL_I/AAAAAAAHtIE/XpMWjagnr3E/s640/DSC_7629.jpg)