Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAONGEZA MUDA WA KUJIANDIKISHA JIJINI DAR ES SALAAM

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa inaongeza muda wa siku nne tu wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Hii inamaanisha kuwa zoezi hilo ambalo lilikuwa linaisha ijumaa ya kesho julai 31, litaendelea hadi jumanne agosti 4Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa hataweza kuongeza muda wa zaidi ya siku nne kwa kuwa ratiba zitaingiliana.Aidha, Jaji Mstaafu Lubuva amesema mpaka sasa watu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NEC yaongeza siku za kujiandikisha Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza siku nne zaidi za kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa Mkoa Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

NEC YAONGEZA SIKU NNE ZA KUJIANDIKISHA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa imeongeza muda wa siku nne wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Hii inamaanisha kuwa zoezi hilo ambalo lilikuwa linaisha leo ijumaa ya julai 31, litaendelea hadi jumanne agosti 4.
Akiongea na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa hataweza kuongeza muda wa zaidi ya siku nne kwa kuwa ratiba zitaingiliana.
Aidha, Jaji...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU NZUNDA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC)JIJINI DODOMA



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda pamoja na timu aliyoongozana nayo wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma.Mhandisi wa mifumo ya zima moto, Gaudence Kessy akitoa ufafanuzi wa masuala ya ufungaji wa mifumo...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA SIASA JIJINI DAR LEO.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Damian Lubuva akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte,Jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Julius Malaba na kulia ni Kamishina wa Tume yaTaifa ya Uchaguzi,Prof. Amon ChallighaSehemu ya Viongozi wa Vyama vya Siasa waliohudhulia Mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Damian Lubuva (hayupo...

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

* Snura, Juma Nature watoa ujumbe kwa wakazi wa Dar, Pwani
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamiiTUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesema imeridhishwa na muamko wa wananchi katika mikoa yote ambao wameuonesha kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kwa mujibu wa NEC Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani walikuwa wamepewa fursa hiyo ya kujiandikisha kuanzia Februari 14 hadi Februari 20 mwaka huu ambapo wananchi wengi wa mikoa hiyo wamejitokeza huku wale ambao bado hawajiandikisha...

 

9 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu  utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha hilo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani