NEC yaongeza siku za kujiandikisha Dar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza siku nne zaidi za kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa Mkoa Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xHFjE9ec50s/VbsPNqJtxgI/AAAAAAAHs3w/AGeFs7wIlyc/s72-c/image.jpeg)
NEC YAONGEZA SIKU NNE ZA KUJIANDIKISHA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-xHFjE9ec50s/VbsPNqJtxgI/AAAAAAAHs3w/AGeFs7wIlyc/s640/image.jpeg)
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa imeongeza muda wa siku nne wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Hii inamaanisha kuwa zoezi hilo ambalo lilikuwa linaisha leo ijumaa ya julai 31, litaendelea hadi jumanne agosti 4.
Akiongea na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa hataweza kuongeza muda wa zaidi ya siku nne kwa kuwa ratiba zitaingiliana.
Aidha, Jaji...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-VpQEjSa0VSI/Vbn-JGWzcDI/AAAAAAABS5w/JqIXLZiBRgk/s72-c/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAONGEZA MUDA WA KUJIANDIKISHA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-VpQEjSa0VSI/Vbn-JGWzcDI/AAAAAAABS5w/JqIXLZiBRgk/s640/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
5 years ago
MichuziNEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015
UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
DART yaongeza siku usajili daladala
WAKALA wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza kusogeza mbele zoezi la kuandikisha mabasi ya abiria ‘daladala’ zinazopita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Fastjet yaongeza safari zake kwenda Johannesburg sasa ni kila siku
Mkuu wa Biashara wa Fastjet Lan Petrie (kulia), akizungumza katika semina hiyo.
Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kulia), akizungumza katika semina ya siku moja ya waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, iliyohusu kuongezeka kwa safari za ndege za shirika hilo kila siku kwenda Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Ofisa Mtendaji wa Masuala ya Biashara wa Fastjet, David Chacha, akijibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari katika semina hiyo.
Ofisa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Dar yaongeza ufaulu darasa la saba
MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...
9 years ago
Habarileo03 Dec
Sumatra yaongeza mabasi Dar-Arusha
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imeanza kutoa leseni za muda mfupi kwa kuongeza idadi ya mabasi katika njia ya Dar es Salaam hadi Arusha.
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
JUST IN: Muda wa kujiandikisha Dar waongezwa
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Jaji Damian Lubuva.
Na Magreth Kinabo
Tume Taifa ua Uchaguzi(NEC) imeongeza siku nne zaidi kwa mkoa wa jiji la Dar es Salam kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura ili kuwezesha wakazi wengi kujiandikisha .
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dares Salaam Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva alisema uamuzi huo umetokana na kuwepo kwa mwamko mkubwa wa wananchi waliojitokeza kwa wingi isivyo...