Sumatra yaongeza mabasi Dar-Arusha
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imeanza kutoa leseni za muda mfupi kwa kuongeza idadi ya mabasi katika njia ya Dar es Salaam hadi Arusha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.
10 years ago
Habarileo10 Mar
Sumatra yaonya wenye mabasi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewaonya baadhi ya wasafirishaji ambao wamekuwa wakitoza nauli wanazotaka wao, kuwa jambo hilo ni uvunjaji wa sheria na halikubaliki.
10 years ago
Habarileo26 Jan
Sumatra yafungia mabasi mawili
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefungia mabasi mawili ya Kampuni ya Ibra Line Limited, yanayofanya safari za Dar es Salaam-Arusha na Moshi-Arusha, kwa kutoza nauli zaidi, kuongeza na kufupisha ruti kinyemela.
10 years ago
Habarileo13 Nov
Sumatra kubana mabasi ya mikoani
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Sumatra yaonya wamiliki mabasi
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Sumatra yakomaliwa ishushe nauli za mabasi