SUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA),Gilliard Ngewe akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ushushwaji wa nauli za mabasi ya masafa marefu ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti usafiri wa barabara,Geffrey Silinda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika ofisi za Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) jijini Dar es Salaam,kulia ni Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI YA MASAFA MAREFU
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Sumatra yakomaliwa ishushe nauli za mabasi
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Sumatra yapiga faini mabasi kwa kupandisha nauli
10 years ago
GPLMKURUGENZI SUMATRA ATOA TAMKO KUHUSU NAULI ZA MABASI NA DARADALA
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...
10 years ago
Habarileo06 Feb
Sumatra yatafakari kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewataka wananchi na jamii kuwa watulivu na kuendelea kuvuta subira, huku suala la kushuka kwa bei ya mafuta likifanyiwa utafiti ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua ya kushusha nauli za vyombo vya usafiri.
10 years ago
Habarileo16 Apr
Sumatra 'yagoma' kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.