Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Sumatra yaonya wamiliki mabasi
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngwew-29April2015.jpg)
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
11 years ago
MichuziNEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wamiliki mabasi watangaza mgomo
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimetangaza kusitisha huduma za usafiri nchi nzima keshokutwa endapo madai yao ya msingi hayatashughulikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...
10 years ago
Habarileo19 Mar
Wamiliki wa mabasi wacharukia nauli
WAKATI wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata nauli pungufu za wanafunzi sasa zitakuwa historia.
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Wamiliki wa mabasi Tanga walalama
WADAU wa sekta ya usafiri wameilalamikia Halmashauri ya Jiji la Tanga kutowashirikisha katika mchakato wa kuanzisha stendi mpya ya mabasi. Hatua hiyo inatokana na kuwekwa kwa jiwe la msingi na...
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
10 years ago
Habarileo26 Jan
Sumatra yafungia mabasi mawili
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefungia mabasi mawili ya Kampuni ya Ibra Line Limited, yanayofanya safari za Dar es Salaam-Arusha na Moshi-Arusha, kwa kutoza nauli zaidi, kuongeza na kufupisha ruti kinyemela.
10 years ago
Habarileo10 Mar
Sumatra yaonya wenye mabasi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewaonya baadhi ya wasafirishaji ambao wamekuwa wakitoza nauli wanazotaka wao, kuwa jambo hilo ni uvunjaji wa sheria na halikubaliki.