Wamiliki wa mabasi Tanga walalama
WADAU wa sekta ya usafiri wameilalamikia Halmashauri ya Jiji la Tanga kutowashirikisha katika mchakato wa kuanzisha stendi mpya ya mabasi. Hatua hiyo inatokana na kuwekwa kwa jiwe la msingi na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wamiliki mabasi watangaza mgomo
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimetangaza kusitisha huduma za usafiri nchi nzima keshokutwa endapo madai yao ya msingi hayatashughulikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Sumatra yaonya wamiliki mabasi
10 years ago
Habarileo19 Mar
Wamiliki wa mabasi wacharukia nauli
WAKATI wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata nauli pungufu za wanafunzi sasa zitakuwa historia.
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Wamiliki wa mabasi waeleza sababu za ajali barabarani
10 years ago
Mtanzania07 May
Mgogoro mpya wamiliki mabasi, madereva waibuka
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MGOGORO mpya umeibuka kati ya wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani baada ya wamiliki kutishia kuwafukuza kazi madereva wao walioshiriki mgomo.
Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya madereva walioshiriki katika mgomo huo wa siku mbili kufukuzwa kazi na baadhi ya wamiliki wa mabasi hayo.
Kutokana na hatua hiyo, Mhasibu Mkuu wa Umoja wa Madereva Tanzania (UWAMATA) Issa Regan, aliwataka matajiri waliowafukuza madereva wao kuwarudisha kazini mara...
9 years ago
StarTV17 Aug
MASLAHI YA WAFANYAKAZI: Wamiliki vyombo vya habari Tanga wanyooshewa kidole
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa amewajia juu wamiliki wa vyombo vya habari kwa kushindwa kujali maslahi ya waandishi wa habari na hivyo kuwafanya kushindwa kufanya kazi yao kwa uweledi.
Mtasiwa ametoa kauli hiyo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa lengo la kuwasajili waandishi wa habari kwenye mfumo wa huduma za afya wa VIKOA.
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa kwa waandishi wa habari wa mkoa wa...