Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamiliki wa mabasi waeleza sababu za ajali barabarani

Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimesema kutosimamiwa vizuri kwa ratiba za mabasi za kuondoka eneo moja kwenda lingine, ni miongoni mwa mambo yanayochangia ajali za barabarani kutokana na madereva kukimbizana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi wabaini sababu za kutokoma kwa ajali za barabarani

>Ajali za vyombo vya usafiri wa majini na barabarani huenda zikaendelea kutokea nchini na kuchukua uhai wa watu wengi zaidi kila kukicha kutokana Serikali kuwaadhibu madereva tu na kuwaacha maofisa waliohusika na miundombinu mibovu na wanaoshindwa kukagua ipasavyo vyombo hivyo.

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma. Kutokana na mgomo huo ndipo madereva wa magari hayo na makondakta wakaamua kugeuza stendi hiyo uwanja wa mpira wa miguu likapigwa mbungi kati ya madereva na makondakta. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe.Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimesisitiza msimamo wake wa kusitisha kutoa huduma ya usafiri leo, huku Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini Nchini (Sumatra) ikionya kuwa itamfutia leseni ya usafirishaji yeyote atakayegoma.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...

 

10 years ago

Mwananchi

Waeleza sababu za kufukuzwa kazi

Makocha wa timu za Ligi Kuu ambao ajira zao zilisitishwa wakati msimu ukiendelea au baada ya kumalizika wamefunguka na kueleza sababu tatu zilizowaondoa kuendelea kuzitumikia klabu zao.

 

11 years ago

Habarileo

Waeleza sababu za kushindwa KKK

KUTOJUA misingi ya Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK), kumeelezwa ni moja ya sababu kubwa inayowafanya wanafunzi wengi kushindwa masomo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Waeleza sababu Mtikila kupigwa

>Polisi Mkoa wa Temeke, wamesema kuwa chanzo cha Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila kupigwa, kimesababishwa na  mgogoro wa ardhi wa viwanja vya Tom Estate vilivyopo eneo la Kurasini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama

WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi waeleza sababu mawaziri kuanguka

Wasomi nchini wametoa maoni tofauti kuhusu kuanguka kwa baadhi ya mawaziri na wabunge maarufu, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwamba hali hiyo inadhihirisha wananchi wanataka mabadiliko kwenye utendaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa waeleza sababu za ‘kumzuia’ Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alipata jaribio la kwanza baada ya baadhi ya wajumbe kupinga kuruhusiwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba kwa madai ya ukiukwaji wa kanuni za Bunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani