Waeleza sababu za kufukuzwa kazi
Makocha wa timu za Ligi Kuu ambao ajira zao zilisitishwa wakati msimu ukiendelea au baada ya kumalizika wamefunguka na kueleza sababu tatu zilizowaondoa kuendelea kuzitumikia klabu zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo501 Dec
Weusi waeleza sababu za kwanini mwaka huu hawajatoa kazi ya kundi
![Weusi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Weusi-300x194.jpg)
Kundi la Weusi linaloundwa na Nikki Wa Pili, G-Nako, Joh Makini, Lord Eyez na Bonta limeeleza sababu za kwanini mwaka huu hawajatoa wimbo wowote wa kundi, mbali na single za mmoja mmoja ambazo hata hivyo kila mmoja zimemsaidia kumuweka pazuri zaidi.
Baadhi ya nyimbo walizotoa Weusi kama msanii mmoja mmoja mwaka huu ni kama Joh Makini ametoa Nusu Nusu na Don’t Bother, Nikki Wa Pili ametoa Safari na Baba Swalehe, G- Nako ametoa Laini na anatarajia kuachia wimbo mpya Original, Bonta pia...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Waeleza sababu za kushindwa KKK
KUTOJUA misingi ya Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK), kumeelezwa ni moja ya sababu kubwa inayowafanya wanafunzi wengi kushindwa masomo yao.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama
WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Waeleza sababu Mtikila kupigwa
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Ukawa waeleza sababu za ‘kumzuia’ Warioba
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Wasomi waeleza sababu mawaziri kuanguka
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Wamiliki wa mabasi waeleza sababu za ajali barabarani
10 years ago
Habarileo16 Dec
Waliovuruga uchaguzi mitaa kufukuzwa kazi
SERIKALI imesema itachukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwavua madaraka, kuwashusha vyeo na kuwakata mishahara viongozi walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha kasoro na kuvurugika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo nchini.