Weusi waeleza sababu za kwanini mwaka huu hawajatoa kazi ya kundi
Kundi la Weusi linaloundwa na Nikki Wa Pili, G-Nako, Joh Makini, Lord Eyez na Bonta limeeleza sababu za kwanini mwaka huu hawajatoa wimbo wowote wa kundi, mbali na single za mmoja mmoja ambazo hata hivyo kila mmoja zimemsaidia kumuweka pazuri zaidi.
Baadhi ya nyimbo walizotoa Weusi kama msanii mmoja mmoja mwaka huu ni kama Joh Makini ametoa Nusu Nusu na Don’t Bother, Nikki Wa Pili ametoa Safari na Baba Swalehe, G- Nako ametoa Laini na anatarajia kuachia wimbo mpya Original, Bonta pia...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Waeleza sababu za kufukuzwa kazi
9 years ago
Bongo530 Dec
Kajala aeleza kwanini ametoa filamu chache mwaka huu
![kajala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/kajala-300x194.jpg)
Kajala amesema mwaka 2015 ametayarisha filamu nyingi lakini ameshindwa kuzitoa kutokana na soko la filamu kusuasua.
Muigizaji ameiambia Bongo5 kuwa mwaka 2016 utakuwa ni mwaka mzuri kwa kuwa tayari ana kazi ndani ambazo hajazitoa.
“Siwezi sema kwangu kuna tatizo ni kujipanga tu licha ya changamoto za wezi wa kazi zetu ambao wanatukatisha tamaa,” alisema.
“Lakini nashukuru kuona serikali tayari imeanza kurudisha matumaini kwa kujaribu kuweka sheria ili tupate haki zetu kwa sababu wasanii...
9 years ago
Bongo521 Dec
Mwana FA ataja sababu kuu za kwanini amekuwa akitoa ngoma chake kwa mwaka (Video)
![12301206_416545988542834_2103460087_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301206_416545988542834_2103460087_n-1-300x194.jpg)
Mwana FA si mtu wa kutoa nyimbo nyingi kwa mwaka. Kwanini? Hizi ni sababu tatu alizozitoa baada ya kukaa na kuzungumza na sisi.
“Naona sina vitu vingi vya kuprove. Kwasababu kama mtu amefika mahali sasa hivi haamini kama nina uwezo, nitakuwa sina uwezo tena wa kumbadilisha,” amesema Mwana FA.
“Muziki mzuri unahitaji muda. Mimi nisharekodi ngoma inakaa mwaka mzima, baadaye tukija tukitaka kuitoa tunakuja tunarekodi tena. Nisharekodi ngoma mara nne kama Kama Zamani ile. Na nafikiri hili...
10 years ago
Bongo526 Nov
Weusi kuzindua video zao 5 mpya kwenye show ya ‘Funga mwaka la Weusi’ Jumamosi hii Dar
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kagasheki: CCM kazi ipo mwaka huu
9 years ago
Bongo525 Nov
Pah One waeleza kwanini Navy Kenzo wamefanikiwa zaidi yao
![PahOne](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/03/PahOne1-300x194.jpg)
Baada ya Nahreel na Aika kujiondoa kwenye kundi la Pah One na kuunda kundi lao la Navy Kenzo linalofanya vizuri kwa sasa, Pah One wamesema Navy Kenzo wamefanikiwa zaidi kutokana na kufanya kazi muda mrefu, tofauti na wao ambao walikuwa hawafanyi kazi kutokana na kusafiri sana.
Wakizungumza katika kipindi cha ‘Siz Kitaa’ cha Clouds TV, Pah One wamesema kuwa sasa wamerejea na watafanya kazi ili wafike wanapohitaji.
“Kwa sisi ni kwamba sisi tulikuwa hatupo, wao walikuwepo wanaendelea na...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Waeleza sababu za kushindwa KKK
KUTOJUA misingi ya Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK), kumeelezwa ni moja ya sababu kubwa inayowafanya wanafunzi wengi kushindwa masomo yao.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama
WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...