Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchunguzi wabaini sababu za kutokoma kwa ajali za barabarani

>Ajali za vyombo vya usafiri wa majini na barabarani huenda zikaendelea kutokea nchini na kuchukua uhai wa watu wengi zaidi kila kukicha kutokana Serikali kuwaadhibu madereva tu na kuwaacha maofisa waliohusika na miundombinu mibovu na wanaoshindwa kukagua ipasavyo vyombo hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

UCHUNGUZI BINAFSI WABAINI MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD ALIKUFA KWA KUKOSA HEWA

Kaka wa Floyd: 'Hiyo haitamrejesha 'Image captionKaka wa Floyd: 'Hiyo haitamrejesha 'George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alikufa kutokana na ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti yake.Alifariki kwa kukandamizwa kwa goti shingoni na mgongoni na maafisa wa polisi wa Minneapolis, uchunguzi wa kimatibabu uliosimamiwa na familia ya Floyd umebaini hilo.Matokeo hayo yanatofautiana na matokeo ya uchunguzi wa mwili wake uliofanywa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Uchunguzi binafsi wabaini kuwa alikufa kwa kukosa hewa

George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alifariki dunia kwasababu ya ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Wamiliki wa mabasi waeleza sababu za ajali barabarani

Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimesema kutosimamiwa vizuri kwa ratiba za mabasi za kuondoka eneo moja kwenda lingine, ni miongoni mwa mambo yanayochangia ajali za barabarani kutokana na madereva kukimbizana.

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme ni shida, Uchunguzi wabaini mikoa mingi iko kwenye hali tete

Wakati Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Tanesco wakikanusha kuwepo kwa mgawo wa umeme, imebainika kuwa sehemu kubwa ya nchi imekosa umeme kwa siku kadhaa, likiwemo Jiji la Dar es salaam.

 

5 years ago

Michuzi

UCHUNGUZI WA AWALI WA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WABAINI MWILI WA MANGULA UMEKUTWA NA SUMU


Na Said Mwisehe,Michuzi Blogu ya jamii

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  Lazaro Mambosasa amesema jeshi hilo limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bara Philip Mangulla mwili wake umekutwa na sumu.

Akizungumza leo Machi 9,2020 jijini Dar es Salaam ,Kamanda Mambosasa amewaambia waandishi wa habari kuwa jeshi  la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja taasisi nyingine lomebaini kuwa mzee Mangulla...

 

10 years ago

Michuzi

Utii wa Sheria kwa Madereva utapunguza ajali za Barabarani

Madereva hapa nchini wametakiwa kufuata sheria ya matumizi bora ya barabara ili kuepusha madhara yanayosababisha kupoteza maisha ya watu,ulemavu wa kudumu na upotevu wa mali.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayofanyika kitaifa mkoani Arusha,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uagizaji wa magari nchini ya Be Forward Tanzania,Daniel Mtaalam amesema njia hiyo ndio suluhu za ajali zinazotokea mara kwa mara.
Amesema wao kama wadau wa...

 

5 years ago

Michuzi

MSONGO WA MAWAZO, CHANGAMOTO KWA MADEREVA JUU YA COVID-19, UNAVYOCHANGIA AJALI ZA BARABARANI


Vero Ignatus.

Msongo wa mawazo kwa madereva wa safari ndefu ikiwemo malori na mabasi,kutokana najanga la covid-19 umetajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani.

Janga la Corona lililongia hapa nchini mapema mwezi wa tatu mwaka 2020,limevuruga halihaisi ya utendaji kazi,limepunguza uzalishaji hivyo madereva wengi kukosa muda wa kupumzika,hujawa na uchovu,kutokula mlo kamili,pamoja na uchovu wa kuendesha gari kwa muda mrefu,yote haya yana,unaosababisha kinga zao za mwili kushuka na kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Barabara za Nigeria : 'Mwanangu wa kiume alikufa kwa ajali ya gari- na sasa ninaongoza magari barabarani'

Mwanamke wa Kinigeria Monica Dongban-Mensem anafanya kampeni ya usalama wa barabarani baada ya mtoto wake wa kiume kufa katika ajali ya barabarani ambapo gari lililomgonga lilitoweka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani