Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamiliki wa mabasi wacharukia nauli

WAKATI wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata nauli pungufu za wanafunzi sasa zitakuwa historia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma. Kutokana na mgomo huo ndipo madereva wa magari hayo na makondakta wakaamua kugeuza stendi hiyo uwanja wa mpira wa miguu likapigwa mbungi kati ya madereva na makondakta. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe.Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimesisitiza msimamo wake wa kusitisha kutoa huduma ya usafiri leo, huku Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini Nchini (Sumatra) ikionya kuwa itamfutia leseni ya usafirishaji yeyote atakayegoma.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...

 

10 years ago

Habarileo

Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra

David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI

  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA),Gilliard Ngewe akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na ushushwaji wa nauli za mabasi ya masafa marefu ofisini kwake jijini Dar es salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti usafiri wa barabara,Geffrey Silinda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  katika ofisi za Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) jijini Dar es Salaam,kulia ni  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi mikoani zashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepunguza nauli za mabasi ya mikoani huku ikitangaza kubaki kama zilivyokuwa, zile za daladala baada ya ukokotoaji wake kuonyesha tofauti ndogo ya punguzo kulinganisha na viwango vya sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Nauli za mabasi ya DART kujadiliwa keshokutwa

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imeandaa mkutano wa kujadili viwango vya nauli za mabasi yatakayotoa huduma ya usafiri wa haraka jijini hapa, keshokutwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumatra yakomaliwa ishushe nauli za mabasi

Chama  cha Kutetea Abiria (Chakua) kimeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Ardhini Sumatra kukutana na wadau kujadili punguzo la nauli kutokana na kuendelea kuporomoka kwa bei ya mafuta.

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI

Naibu Katibu Idara ya Barabara ya CHAKUA, Gervas Rutaguzinda, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa CHAKUA, Hassan Mchanjama, akionyesha baadhi ya nyaraka walizowahi kuwaandikia SUMATRA.…

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi 21 yaadhibiwa kwa nauli juu Krismasi

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamedi Mpinga (kulia) akizungumza na waandishi Dar es Salaam juzi kuhusu kupanda kwa nauli ya mabasi yaendayo mikoani, daladala zinazoishia Mnazi Mmoja, ajali za barabarani na mambo mbalimbali yanayohusu usalama wa abiria. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) Kanda ya Mashariki, Thomas Haule na Mwenyekiti CHAKUA,Hassan Mchanjama. (Picha na Yusuf Badi).JESHI la Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limewaadhibu wamiliki wa magari zaidi ya 21.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani