Mabasi 21 yaadhibiwa kwa nauli juu Krismasi
JESHI la Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limewaadhibu wamiliki wa magari zaidi ya 21.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Sumatra yapiga faini mabasi kwa kupandisha nauli
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewatoza faini wamiliki wa mabasi zaidi ya 20 yaendayo mikoani kwa kosa la kupandisha nauli holela katika kipindi cha maandalizi ya Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...
9 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA AONYA WENYE MABASI KUONGEZA NAULI, AZINDUA HUDUMA FASTA FASTA KWA BODABODA
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Polisi watahadharisha kuongeza nauli Krismasi, Mwaka Mpya
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema kampuni au mtu atakayeongeza nauli ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vdXfYFOgkyQ/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Nauli za mabasi mikoani zashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepunguza nauli za mabasi ya mikoani huku ikitangaza kubaki kama zilivyokuwa, zile za daladala baada ya ukokotoaji wake kuonyesha tofauti ndogo ya punguzo kulinganisha na viwango vya sasa.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania