Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASLAHI YA WAFANYAKAZI: Wamiliki vyombo vya habari Tanga wanyooshewa kidole

Mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa amewajia juu wamiliki wa vyombo vya habari kwa kushindwa kujali maslahi ya waandishi wa habari na hivyo kuwafanya kushindwa kufanya kazi yao kwa uweledi.

Mtasiwa ametoa kauli hiyo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa  lengo la kuwasajili waandishi wa habari kwenye mfumo wa huduma za afya wa VIKOA.

Kauli ya mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa kwa waandishi wa habari wa mkoa wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YAWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUWAKATIA BIMA WAFANYAKAZI WAO

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akijibu swali Bungeni mjini Dodoma.Na Lorietha Laurence-Maelezo Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amewataka wamiliki wa vyombo vya habari kuwakatia wafanyakazi wao bima ili ziweze kuwasaidia wakati wanapopatwa na madhara wakiza kazini.

Akijibu swali la mbunge wa viti maalum Anna Mallac, kuhusu mpango wa Serikali kuwapatia ulinzi waandishi pale wanapokuwa wakifanya kazi katika matukio...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

11 years ago

Michuzi

Wamiliki wa Vyombo vya habari watakiwa kuheshimu taaluma ya habari

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na Baadhi ya Wafanyakazi wa chumba cha habari cha Clouds Media wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Vyombo vya habari. Kulia ni Mhariri Mkuu wa Clouds Media Joyce Shebe na Kushoto ni Mhariri wa Habari za Michezo Shaffih Dauda. Mhariri Mkuu wa Clouds Media Joyce Shebe akieleza jambo wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Kituo hicho katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzalendo, Uadilifu na Maslahi ya Taifa: Wajibu wa Vyombo vya Habari Jamii

DSC_0219

Mshehereshaji kwenye madhimisho ya siku ya redio duniani, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu, Arusha

Vyombo vya habari hususan redio za jamii zimetakiwa kutanguliza  uzalendo na kutetea maslahi ya taifa ili kuliepusha taifa katika migogoro na mitafaruku inayoweza kusababisha...

 

10 years ago

GPL

UZALENDO, UADILIFU NA MASLAHI YA TAIFA: WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI JAMII‏

Mshehereshaji kwenye madhimisho ya siku ya redio duniani, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, Nyerembe Munasa akizungumza katika ufunguzi wa kuadhimisha siku ya redio duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha.… ...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAKUTANA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na wamiliki  wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu katika mkutano ulifanyika leo katika Ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk.Reginard Mengi akichangia maada katika mkutano wa Wamiliki na Vyombo vya habari  uliotishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

WANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA EAC WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO

 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam leo  Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanahabari na wamiliki wa vyombo vya habari wa EAC wakutana Dar kujadili changamoto za nchi zao

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, akizungumza katika kongamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani