Sumatra yaonya wenye mabasi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewaonya baadhi ya wasafirishaji ambao wamekuwa wakitoza nauli wanazotaka wao, kuwa jambo hilo ni uvunjaji wa sheria na halikubaliki.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Sumatra yaonya wamiliki mabasi
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
10 years ago
Habarileo13 Nov
Sumatra kubana mabasi ya mikoani
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI
10 years ago
Habarileo26 Jan
Sumatra yafungia mabasi mawili
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefungia mabasi mawili ya Kampuni ya Ibra Line Limited, yanayofanya safari za Dar es Salaam-Arusha na Moshi-Arusha, kwa kutoza nauli zaidi, kuongeza na kufupisha ruti kinyemela.
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
9 years ago
Habarileo21 Sep
Sumatra yafungia mabasi yote ya Muro
MAMLAKA ya Kudhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesitisha kwa muda usiojulikana leseni ya usafirishaji abiria ya kampuni ya mabasi ya Muro (Muro Investment Co. Limited), kwa kutokidhi viwango vya kiufundi na usalama.
11 years ago
Habarileo20 Jan
Sumatra yazindua utaratibu mpya wa mabasi
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imezindua utaratibu mpya wa ratiba na vibao maalumu, vitakavyotumiwa na mabasi yanayotoa huduma ya usafiri kati ya Kilimanjaro na Dar es Salaam.