Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumatra yafungia mabasi yote ya Muro

MAMLAKA ya Kudhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesitisha kwa muda usiojulikana leseni ya usafirishaji abiria ya kampuni ya mabasi ya Muro (Muro Investment Co. Limited), kwa kutokidhi viwango vya kiufundi na usalama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sumatra yafungia mabasi mawili

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefungia mabasi mawili ya Kampuni ya Ibra Line Limited, yanayofanya safari za Dar es Salaam-Arusha na Moshi-Arusha, kwa kutoza nauli zaidi, kuongeza na kufupisha ruti kinyemela.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yafungia kampuni tatu za mabasi

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeyafungia kwa muda usiojulikana mabasi ya Kampuni za Osaka Royal Class, Polepole Classic na Burdan Bus Services baada ya kuyatilia shaka na sifa za madereva wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mabasi ya Muro yafungiwa kutoa huduma

Mamlaka ya  Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeyafungia mabasi ya Muro chini ya Kampuni ya Muro Investment kutoendelea na  safari zake za Dar-Mwanza na Dar-Arusha kutokana na kukiuka sheria za usalama na usafirishaji.

 

10 years ago

Vijimambo

Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe.Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimesisitiza msimamo wake wa kusitisha kutoa huduma ya usafiri leo, huku Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini Nchini (Sumatra) ikionya kuwa itamfutia leseni ya usafirishaji yeyote atakayegoma.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yaonya wamiliki mabasi

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesema mpango wa kuyafutia leseni mabasi yote ambayo yatabainika kupandisha nauli hautakuwa kwa kipindi hiki cha sikukuu peke yake.

 

10 years ago

Mtanzania

Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yaonya wenye mabasi

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewaonya baadhi ya wasafirishaji ambao wamekuwa wakitoza nauli wanazotaka wao, kuwa jambo hilo ni uvunjaji wa sheria na halikubaliki.

 

10 years ago

Habarileo

Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra

David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra kubana mabasi ya mikoani

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani