Sumatra yafungia kampuni tatu za mabasi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeyafungia kwa muda usiojulikana mabasi ya Kampuni za Osaka Royal Class, Polepole Classic na Burdan Bus Services baada ya kuyatilia shaka na sifa za madereva wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Jan
Sumatra yafungia mabasi mawili
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefungia mabasi mawili ya Kampuni ya Ibra Line Limited, yanayofanya safari za Dar es Salaam-Arusha na Moshi-Arusha, kwa kutoza nauli zaidi, kuongeza na kufupisha ruti kinyemela.
9 years ago
Habarileo21 Sep
Sumatra yafungia mabasi yote ya Muro
MAMLAKA ya Kudhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesitisha kwa muda usiojulikana leseni ya usafirishaji abiria ya kampuni ya mabasi ya Muro (Muro Investment Co. Limited), kwa kutokidhi viwango vya kiufundi na usalama.
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngwew-29April2015.jpg)
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ewura yafungia kampuni saba za mafuta
10 years ago
Habarileo10 Mar
Sumatra yaonya wenye mabasi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewaonya baadhi ya wasafirishaji ambao wamekuwa wakitoza nauli wanazotaka wao, kuwa jambo hilo ni uvunjaji wa sheria na halikubaliki.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
10 years ago
VijimamboSUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI