Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUST IN: Muda wa kujiandikisha Dar waongezwa

lub

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Jaji Damian Lubuva.

Na Magreth Kinabo

Tume Taifa ua Uchaguzi(NEC) imeongeza  siku nne  zaidi   kwa mkoa  wa jiji la Dar es Salam  kujiandikisha   katika daftari la kudumu la kupiga kura   ili kuwezesha wakazi wengi  kujiandikisha .

 Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dares Salaam Mwenyekiti  wa  tume hiyo  Jaji Mstaafu Damian Lubuva alisema uamuzi huo umetokana  na kuwepo kwa  mwamko mkubwa  wa wananchi waliojitokeza  kwa wingi  isivyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Muda wa uandikishaji BVR Dar waongezwa

Tume ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza kuongeza siku nne zaidi za uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia teknolojia ya BVR baada ya idadi kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam kuitikia wito wa zoezi hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAONGEZA MUDA WA KUJIANDIKISHA JIJINI DAR ES SALAAM

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa inaongeza muda wa siku nne tu wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Hii inamaanisha kuwa zoezi hilo ambalo lilikuwa linaisha ijumaa ya kesho julai 31, litaendelea hadi jumanne agosti 4Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa hataweza kuongeza muda wa zaidi ya siku nne kwa kuwa ratiba zitaingiliana.Aidha, Jaji Mstaafu Lubuva amesema mpaka sasa watu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muda wa mazungumzo na Iran waongezwa

Kuna dalili kuwa mazungumzo kati ya mataifa sita tajiri zaidi duniani na Iran kuhusu mpango wake wa nuklia yataendea mbele hata kama leo ndiyo siku ya mwisho ya mazungumzo hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muda matumizi mashine za kodi waongezwa

SERIKALI imeongeza muda wa kutumia mashine za kodi za kielektroniki (EFDs) kwa wafanyabiashara hadi Februari mosi, 2014. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kikao kilichohusisha chama cha wafanyabiashara, Waziri wa Viwanda...

 

11 years ago

Michuzi

muda wa shindalo la waandishi wa filamu za Kiswahili la skripti za filamu ndefu waongezwa

Tamasha la ZIFF limetangaza kuongezwa muda kwa wadau waandishi wa filamu  za Kiswahili. Shindano la skripti za filamu ndefu (feature film) katika lugha ya Kiswahili kwa ajili ya Chaneli ya ZUKU limeongezewa muda hadi tarehe 30 Aprili.
Tafadhali tembelea tovuti ya ZIFF  http://www.ziff.or.tz/2014/03/30/commissioning-feature-length-films-zuku-tvs-swahili-movies-chann/
Washindi 5 watapata zaidi ya Tsh 20millioni ili kutengeneza filamu zao baada ya kuchaguliwa na kupigwa msasa na magwiji...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yaongeza siku za kujiandikisha Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza siku nne zaidi za kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa Mkoa Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

NEC YAONGEZA SIKU NNE ZA KUJIANDIKISHA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa imeongeza muda wa siku nne wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Hii inamaanisha kuwa zoezi hilo ambalo lilikuwa linaisha leo ijumaa ya julai 31, litaendelea hadi jumanne agosti 4.
Akiongea na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa hataweza kuongeza muda wa zaidi ya siku nne kwa kuwa ratiba zitaingiliana.
Aidha, Jaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani