Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muda wa uandikishaji BVR Dar waongezwa

Tume ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza kuongeza siku nne zaidi za uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia teknolojia ya BVR baada ya idadi kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam kuitikia wito wa zoezi hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JUST IN: Muda wa kujiandikisha Dar waongezwa

lub

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Jaji Damian Lubuva.

Na Magreth Kinabo

Tume Taifa ua Uchaguzi(NEC) imeongeza  siku nne  zaidi   kwa mkoa  wa jiji la Dar es Salam  kujiandikisha   katika daftari la kudumu la kupiga kura   ili kuwezesha wakazi wengi  kujiandikisha .

 Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dares Salaam Mwenyekiti  wa  tume hiyo  Jaji Mstaafu Damian Lubuva alisema uamuzi huo umetokana  na kuwepo kwa  mwamko mkubwa  wa wananchi waliojitokeza  kwa wingi  isivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR Dar majanga

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itatakiwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha inatimiza mipango yake kuelekea katika Uchaguzi Mkuu kutokana na ugumu unaoweza kutokea katika kukamilisha uandikishaji wapigakura katika jiji la Dar es Salaam na ugawaji wa mipaka ya majimbo nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

BVR ‘zachemsha’ uandikishaji Dar

Uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR unaoendelea katika kata tatu za Jiji la Dar es Salaam umeanza kusuasua kutokana na matatizo ya watendaji na mashine zinazotumika kwenye uandikishaji huo.

 

10 years ago

GPL

UANDIKISHAJI BVR DAR WATAWALIWA NA CHANGAMOTO

Mwandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura (katikati) akisoma jina la mwananchi aliyehitajika kwenda kujiandikisha. Wananchi wakisubiri kujiandikisha eneo la kituo cha Kijitonyama-Mpakani B. …

 

10 years ago

Dewji Blog

DAR yakamilisha rasmi uandikishaji BVR

DSC_0647

Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan.

Tume ya Taifa  ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa  taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Ramadhani zoezi hilo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuandikisha wapiga kura 2,845,256 sawa na 101.2%

DAR YAKAMILISHA RASMI UANDIKISHAJI 1

DAR YAKAMILISHA RASMI UANDIKISHAJI  2

DAR YAKAMILISHA RASMI UANDIKISHAJI  3

 

10 years ago

GPL

UANDIKISHAJI BVR WAANZA LEO DAR

Baadhi ya wakazi wa Kijitonyama wakiwa katika Shule ya Msingi Sinza-Maalum kwenye foleni tayari kwa kujiandikisha. Wananchi wakiwa kwenye foleni katika zoezi la kujiandikisha.…

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji BVR Dar wavuka lengo

LICHA ya kuanza kwa kusuasua, kazi ya uandikishaji wapigakura katika mfumo wa kielektroniki wa BVR katika Jiji la Dar es Salaam, imepata mafanikio na kuvuka lengo la uandikishaji lililokuwa limewekwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR Dar kuanza kesho

>Uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia Biometric Voters Registration (BVR) Dar es Salaam, unaanza rasmi kesho, huku mashine zaidi ya 4,000 zikitarajia kutumika kukamilisha kazi hiyo katika vituo 1,700.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani