Uandikishaji BVR Dar wavuka lengo
LICHA ya kuanza kwa kusuasua, kazi ya uandikishaji wapigakura katika mfumo wa kielektroniki wa BVR katika Jiji la Dar es Salaam, imepata mafanikio na kuvuka lengo la uandikishaji lililokuwa limewekwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Jul
Arusha wavuka lengo uandikishaji BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku mbili za uandikishwaji katika Halmashauri ya Jiji la Arusha na kulazimika kazi hiyo kumalizika jana badala ya kuisha Julai 16 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Uandikishaji kwa mfumo wa BVR wavuka lengo
UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia mfumo mpya wa Biometric Voters Registration (BVR) umezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ukitajwa kuanza kwa mafanikio makubwa kutokana na idadi iliyojitokeza kuanzia juzi.
10 years ago
Mwananchi19 Dec
BVR ‘zachemsha’ uandikishaji Dar
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Uandikishaji BVR Dar majanga
10 years ago
GPL
UANDIKISHAJI BVR DAR WATAWALIWA NA CHANGAMOTO
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Uandikishaji BVR Dar kuanza kesho
10 years ago
GPLUANDIKISHAJI BVR WAANZA LEO DAR
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Muda wa uandikishaji BVR Dar waongezwa
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
DAR yakamilisha rasmi uandikishaji BVR
Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Ramadhani zoezi hilo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuandikisha wapiga kura 2,845,256 sawa na 101.2%