Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji kwa mfumo wa BVR wavuka lengo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia mfumo mpya wa Biometric Voters Registration (BVR) umezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ukitajwa kuanza kwa mafanikio makubwa kutokana na idadi iliyojitokeza kuanzia juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Arusha wavuka lengo uandikishaji BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku mbili za uandikishwaji katika Halmashauri ya Jiji la Arusha na kulazimika kazi hiyo kumalizika jana badala ya kuisha Julai 16 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji BVR Dar wavuka lengo

LICHA ya kuanza kwa kusuasua, kazi ya uandikishaji wapigakura katika mfumo wa kielektroniki wa BVR katika Jiji la Dar es Salaam, imepata mafanikio na kuvuka lengo la uandikishaji lililokuwa limewekwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR waisha kwa changamoto

Wakati majaribio ya uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR yakiisha leo, wananchi wengi wameshindwa kujiandikisha kutokana na mpango wenyewe kusuasua.

 

10 years ago

Mwananchi

Zoezi la Uandikishaji kwa BVR lisitishwe

Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuwatambua wapigakura kwa alama za vidole, mfumo ambao huhifadhi taarifa zote muhimu za mpigakura hivyo kuondosha uwezekano wa mtu kupiga kura mara mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Tume yavuka lengo la uandikishaji Makambako

Wakazi wa Mji wa Makambako, mkoani Njombe wamevuka lengo lililowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) la kuandiksha watu 32,370 katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura, ambalo unatumika mfumo mpya kuandikisha wa Biometrick Voters Regstration (BVR) na kufikia watu 39,579, huku kazi hiyo ikitarajiwa kuhitimishwa leo katika kata tisa za mji huo.

 

10 years ago

Michuzi

150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...

 

10 years ago

Habarileo

Ukerewe yavuka lengo kujiandikisha BVR

HALMASHAURI ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza imeandikisha wananchi 162,883 katika daftari la kudumu la wapiga kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani