Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zoezi la Uandikishaji kwa BVR lisitishwe

Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuwatambua wapigakura kwa alama za vidole, mfumo ambao huhifadhi taarifa zote muhimu za mpigakura hivyo kuondosha uwezekano wa mtu kupiga kura mara mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR waisha kwa changamoto

Wakati majaribio ya uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR yakiisha leo, wananchi wengi wameshindwa kujiandikisha kutokana na mpango wenyewe kusuasua.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji kwa mfumo wa BVR wavuka lengo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia mfumo mpya wa Biometric Voters Registration (BVR) umezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ukitajwa kuanza kwa mafanikio makubwa kutokana na idadi iliyojitokeza kuanzia juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA UANDIKISHA WAPIGA KURA KIELEKTRONIKI (BVR), KWA MAJARIBIO LAANZA DAR


Zoezi la kuandikisha upya wapiga kura wenye sifa, kwa kutumia mfumo mpya wa kidigitali au kielektroniki, yaani Biometric Voters Registre, (BVR), limeanza jijini Dar es Salaam kwa majaribio, na hakika hakuna longolongo wala kupoteza muda, Mimi nimeshuhudia mtu mmoja humchukua takrivan dakika 10 tu kupatiwa kitambulisho au kadi ya kisasa ya kupigia kura. Hatua hizo ni kama zifuatazo, mosi, mtu anayeomba kuandikishwa ataonyesha kitambulisho na kujaza fomu ya Tume ya Uchaguzi ya kuomba...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM KWA MAFANIKIO MAKUBWA


Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani zoezi hilio limefanikiwa kwa kiasi kikubwa licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali zilizojitokeza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zoezi la Uandikishaji wapigakura, Dsm.

Zoezi la Uandikishaji kwenye daftari la Kudumu la Wapiga kura nchini Tanzania, bado linasuasua kutokana na kasoro zilizojitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Hesabu za uandikishaji BVR zinagoma

>Licha ya Serikali kusisitiza kuwa uandikishaji wa wapigakura nchi nzima kwa mfumo wa BVR utakamilika Aprili 28 na Kura ya Maoni kufanyika Aprili 30, mwaka huu kama ilivyopangwa, hesabu zilizopigwa na Mwananchi zinakataa kuwianisha siku zilizosalia na idadi ya mashine za BVR zilizopo na zinazotarajiwa kuwasili. Hali hiyo imejitokeza zikiwa zimebaki siku 36 kabla ya Kura ya Maoni kufanyika, huku kukiwapo wasiwasi miongoni mwa wadau kuhusu uwezekano wa kufanikisha matukio hayo bila...

 

10 years ago

Mwananchi

BVR ‘zachemsha’ uandikishaji Dar

Uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR unaoendelea katika kata tatu za Jiji la Dar es Salaam umeanza kusuasua kutokana na matatizo ya watendaji na mashine zinazotumika kwenye uandikishaji huo.

 

10 years ago

Habarileo

UN wasifia uandikishaji wa BVR Zanzibar

OFISA Mwandamizi kutoka Umoja wa Mataifa (UN) anayeshughulikia Kitengo cha Uchaguzi Mkuu, Hamida Kibwana amesema uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa BVR, umefanyika vizuri huku vyama vyote vikionesha kuridhishwa nao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani