Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji BVR waisha kwa changamoto

Wakati majaribio ya uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR yakiisha leo, wananchi wengi wameshindwa kujiandikisha kutokana na mpango wenyewe kusuasua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UANDIKISHAJI BVR DAR WATAWALIWA NA CHANGAMOTO

Mwandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura (katikati) akisoma jina la mwananchi aliyehitajika kwenda kujiandikisha. Wananchi wakisubiri kujiandikisha eneo la kituo cha Kijitonyama-Mpakani B. …

 

10 years ago

Mwananchi

Zoezi la Uandikishaji kwa BVR lisitishwe

Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuwatambua wapigakura kwa alama za vidole, mfumo ambao huhifadhi taarifa zote muhimu za mpigakura hivyo kuondosha uwezekano wa mtu kupiga kura mara mbili.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji kwa mfumo wa BVR wavuka lengo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia mfumo mpya wa Biometric Voters Registration (BVR) umezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ukitajwa kuanza kwa mafanikio makubwa kutokana na idadi iliyojitokeza kuanzia juzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Hesabu za uandikishaji BVR zinagoma

>Licha ya Serikali kusisitiza kuwa uandikishaji wa wapigakura nchi nzima kwa mfumo wa BVR utakamilika Aprili 28 na Kura ya Maoni kufanyika Aprili 30, mwaka huu kama ilivyopangwa, hesabu zilizopigwa na Mwananchi zinakataa kuwianisha siku zilizosalia na idadi ya mashine za BVR zilizopo na zinazotarajiwa kuwasili. Hali hiyo imejitokeza zikiwa zimebaki siku 36 kabla ya Kura ya Maoni kufanyika, huku kukiwapo wasiwasi miongoni mwa wadau kuhusu uwezekano wa kufanikisha matukio hayo bila...

 

10 years ago

Mwananchi

BVR ‘zachemsha’ uandikishaji Dar

Uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR unaoendelea katika kata tatu za Jiji la Dar es Salaam umeanza kusuasua kutokana na matatizo ya watendaji na mashine zinazotumika kwenye uandikishaji huo.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC itathmini uandikishaji wa BVR

Lawama na vurugu za shughuli za uandikishaji wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, vinazidi kupamba moto siku hadi siku.

 

10 years ago

Habarileo

UN wasifia uandikishaji wa BVR Zanzibar

OFISA Mwandamizi kutoka Umoja wa Mataifa (UN) anayeshughulikia Kitengo cha Uchaguzi Mkuu, Hamida Kibwana amesema uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa BVR, umefanyika vizuri huku vyama vyote vikionesha kuridhishwa nao.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR Dar majanga

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itatakiwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha inatimiza mipango yake kuelekea katika Uchaguzi Mkuu kutokana na ugumu unaoweza kutokea katika kukamilisha uandikishaji wapigakura katika jiji la Dar es Salaam na ugawaji wa mipaka ya majimbo nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR Dar kuanza kesho

>Uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia Biometric Voters Registration (BVR) Dar es Salaam, unaanza rasmi kesho, huku mashine zaidi ya 4,000 zikitarajia kutumika kukamilisha kazi hiyo katika vituo 1,700.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani