muda wa shindalo la waandishi wa filamu za Kiswahili la skripti za filamu ndefu waongezwa
Tamasha la ZIFF limetangaza kuongezwa muda kwa wadau waandishi wa filamu za Kiswahili. Shindano la skripti za filamu ndefu (feature film) katika lugha ya Kiswahili kwa ajili ya Chaneli ya ZUKU limeongezewa muda hadi tarehe 30 Aprili.
Tafadhali tembelea tovuti ya ZIFF
http://www.ziff.or.tz/2014/03/30/commissioning-feature-length-films-zuku-tvs-swahili-movies-chann/
Washindi 5 watapata zaidi ya Tsh 20millioni ili kutengeneza filamu zao baada ya kuchaguliwa na kupigwa msasa na magwiji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Tazama filamu fupi ya Kiswahili ‘Nani?’
![nani](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/nani-300x194.jpg)
Hii ni filamu fupi ya Kiswahili iitwayo Nani? iliyoongozwa na kutayarishwa na Hefemi. Jionee.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
Sakata la kushushwa kwa bei za filamu.Watayarishaji filamu nao waibuka
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
10 years ago
MichuziWAJUMBE BODI YA FILAMU WATEMBELEA MIUNDOMBINU YA KAMPUNI YA UTENGENEZAJI FILAMU YA PROIN