NEC: VIFAA BVR FEKI
Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima. Siku moja baada ya kunaswa mashine zilizosadikiwa kuwa ni za uandikishaji wapiga kura kwa njia ya kielektroniki (BVR), zilizokuwa zikiandikisha wafanyakazi wa Kiwanda cha MM Steel jijini Dar es Salaam, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeibuka na kueleza kuwa mashine hizo ni 'feki' na wala hazihusiani kwa namna yoyote na vifaa vyao. Jaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi10 Oct
NEC:VIFAA VILIVYOKAMATWA SIO BVR, WALA HAVIHUSIANI VYOVYOTE NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
![Jaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa Chadema. Kutoka kulia ni Wakili wa chama hicho, John Malya na Reginald Munisi](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/jLtE2biSDW_Y_Ng4FizXZXBijoRBBntzWb_mcRq59Lx4kkMy2rfhhKzDmfwVrEU3I8MSN944V1ilLTRXlDhhk_qF4LUZBB0M3MaO4tSnBzLzqpcIUABP2op2-EIHAwdAhDuB2bB9SWmg=s0-d-e1-ft#http://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2015/10/Lubuva-na-Malya-620x308.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 Jul
Wajawazito feki washtukiwa BVR Dar
10 years ago
TheCitizen23 Jun
Keep off BVR, NEC tells politicians
10 years ago
Mwananchi26 Jun
NEC itathmini uandikishaji wa BVR
10 years ago
TheCitizen21 Jan
NEC yet to receive BVR kits
10 years ago
Daily News25 Mar
NEC given funds for more BVR kits
Daily News
THE National Electoral Commission (NEC) has received 70 per cent of funds it needs for buying 8,000 Biometric Voter Registration (BVR) kits, Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, said on Tuesday. “The government had disbursed 70 per cent of the required ...
9 years ago
StarTV24 Aug
Chadema yadai kukamata kadi feki za NEC.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa inakihujumu kwa kutengeneza kadi za ziada zaidi ya milioni 2 ili kukipa ushindi Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Akiongea na waandishi wa habari, mgombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ameeleza kuwa wamepata kadi 100 kati ya kadi hizo ambazo zimewasilishwa kwao na baadhi ya wafanyakazi wa NEC wanaowataja kama ‘Wasamalia Wema’ waliowapa taarifa ya...
9 years ago
Mwananchi07 Sep
TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua
10 years ago
TheCitizen29 Dec
NEC report on BVR trial out this week