Chadema yadai kukamata kadi feki za NEC.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa inakihujumu kwa kutengeneza kadi za ziada zaidi ya milioni 2 ili kukipa ushindi Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Akiongea na waandishi wa habari, mgombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ameeleza kuwa wamepata kadi 100 kati ya kadi hizo ambazo zimewasilishwa kwao na baadhi ya wafanyakazi wa NEC wanaowataja kama ‘Wasamalia Wema’ waliowapa taarifa ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema yadai kunasa kadi 36 za kupigia kura
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Wagombea Chadema wadai kunasa kadi feki za mpigakura
9 years ago
GPLNEC: VIFAA BVR FEKI
10 years ago
Mwananchi08 Aug
NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura
9 years ago
Mwananchi28 Aug
NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Lowassa akabidhiwa rasmi kadi ya CHADEMA
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho, Mh.Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya kujunga kwake katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es...
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Chadema ‘feki’ waibuka tena
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
WATU kadhaa jana walikamatwa wakijaribu kufanya maandamano katika eneo la Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa.
Tukio la kukamatwa kwa watu hao lilitokea baada ya kubainika hawakuwa wanachama wa Chadema bali walitumwa na watu ambao hawajafahamika kwenda kufanya fujo katika ofisi hizo.
Wakizungumza na gazeti hili watu walioshuhudia tukio hilo...
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Chadema feki wakamatwa na polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikilia vijana 10 waliojifanya wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuandamana katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa kile walichodai kwamba ni kupinga hatua ya Dk. Slaa kustaafu siasa kutokana na Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.
Vijana hao waliokuwa wamevaa sare za Chadema walikuwa wamebeba mabango yenye ujumbe tofauti huku wakiimba wimbo wa‘hatumtaki Lowassa’… ‘hatumtaki...
10 years ago
Mwananchi29 Jul
Lowassa, mkewe watua Chadema, wakabidhiwa kadi