Chadema ‘feki’ waibuka tena
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
WATU kadhaa jana walikamatwa wakijaribu kufanya maandamano katika eneo la Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa.
Tukio la kukamatwa kwa watu hao lilitokea baada ya kubainika hawakuwa wanachama wa Chadema bali walitumwa na watu ambao hawajafahamika kwenda kufanya fujo katika ofisi hizo.
Wakizungumza na gazeti hili watu walioshuhudia tukio hilo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Usawa wa kijinsia waibuka tena semina ya Bunge
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
CHADEMA waibuka kidedea Masasi
MAHAKAMA ya Wilaya ya Masasi Mtwara, imewaachia huru watuhumiwa 20 kati ya 21 waliyokuwa wakikabiliwa na kesi ya kula njama ya kutenda kosa, kuandamana bila kibali, kuharibu na kuchoma majengo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J-U3CRdPqLU/XlVwCee_DqI/AAAAAAALfZ4/JTQf3_vXbOcytrV5XNokyYZ6QrfbdUCgQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200225_175809_703.jpg)
MJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC
![](https://1.bp.blogspot.com/-J-U3CRdPqLU/XlVwCee_DqI/AAAAAAALfZ4/JTQf3_vXbOcytrV5XNokyYZ6QrfbdUCgQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200225_175809_703.jpg)
Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo.
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNwfXy-1rFPtlMtlHOHCZ*NWR8dea2JfMoB-gtYW0z3Iw9fz5m-DCCw1iJVQpLoIwTzRdFAPQHiMSp*VCZkUFeGL/MSIBA.jpg)
KISA BENDERA YA CHADEMA, MTITI WAIBUKA MSIBANI
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Chadema feki wakamatwa na polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikilia vijana 10 waliojifanya wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuandamana katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa kile walichodai kwamba ni kupinga hatua ya Dk. Slaa kustaafu siasa kutokana na Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.
Vijana hao waliokuwa wamevaa sare za Chadema walikuwa wamebeba mabango yenye ujumbe tofauti huku wakiimba wimbo wa‘hatumtaki Lowassa’… ‘hatumtaki...
9 years ago
StarTV24 Aug
Chadema yadai kukamata kadi feki za NEC.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa inakihujumu kwa kutengeneza kadi za ziada zaidi ya milioni 2 ili kukipa ushindi Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Akiongea na waandishi wa habari, mgombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ameeleza kuwa wamepata kadi 100 kati ya kadi hizo ambazo zimewasilishwa kwao na baadhi ya wafanyakazi wa NEC wanaowataja kama ‘Wasamalia Wema’ waliowapa taarifa ya...
9 years ago
Mtanzania04 Sep
kada CCM akiri kuhusika na Chadema ‘feki’
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Didas Masaburi, amekiri kukutana na vijana wanaodaiwa kujifanya wafuasi wa Chadema walioandamana jijini Dar es Salaam kupongeza hatua ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuacha siasa na kushambulia chama chake.
Juzi vijana hao waliandamana wakiwa na lengo la kwenda makao makuu ya Chadema kabla ya kutawanywa na wananchi.
Tangu asubuhi ya jana, sauti ya Masaburi ilikuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya...
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Wagombea Chadema wadai kunasa kadi feki za mpigakura
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Mbowe tena Chadema