Chadema feki wakamatwa na polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikilia vijana 10 waliojifanya wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuandamana katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa kile walichodai kwamba ni kupinga hatua ya Dk. Slaa kustaafu siasa kutokana na Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.
Vijana hao waliokuwa wamevaa sare za Chadema walikuwa wamebeba mabango yenye ujumbe tofauti huku wakiimba wimbo wa‘hatumtaki Lowassa’… ‘hatumtaki...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATATU WAKAMATWA NA DOLA FEKI ZENYE THAMANI YA MILIONI 20
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Fresser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari mkoani hapa Dola Feki za kimarekani. Picha na Elizabeth Kilindi, Tanga.
WATU watatu wanaojishughulisha na biashara ya uuzaji wa noti bandia mkoani Tanga wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakiwa na dola za kimarekani zenye thamani ya 11200 ambazo ni sawa na shilingi milioni 20 za Kitanzania.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Fresser Kashai aliwaambia waandishi wahabari...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s72-c/IMG-20140802-WA0008.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s1600/IMG-20140802-WA0008.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kD77rECHH3Y/U9_aIYYQvLI/AAAAAAAF9G8/E7ptUtKJJIw/s1600/IMG-20140802-WA0009.jpg)
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Chadema ‘feki’ waibuka tena
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
WATU kadhaa jana walikamatwa wakijaribu kufanya maandamano katika eneo la Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa.
Tukio la kukamatwa kwa watu hao lilitokea baada ya kubainika hawakuwa wanachama wa Chadema bali walitumwa na watu ambao hawajafahamika kwenda kufanya fujo katika ofisi hizo.
Wakizungumza na gazeti hili watu walioshuhudia tukio hilo...
11 years ago
GPLPOLISI FEKI WATIWA MBARONI
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewabaini na kuwakamata polisi wawili waliokuwa kwenye mkutano wao wilayani Geita wakiwa wamevaa sare za chama hicho huku wakiwa na kadi za uanachama wa...
10 years ago
BBCSwahili28 May
Malaysia:Polisi 12 wakamatwa kwa ulanguzi
11 years ago
BBCSwahili24 Jan
Polisi wakamatwa kwa mauaji A.Kusini
9 years ago
Mtanzania04 Sep
kada CCM akiri kuhusika na Chadema ‘feki’
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Didas Masaburi, amekiri kukutana na vijana wanaodaiwa kujifanya wafuasi wa Chadema walioandamana jijini Dar es Salaam kupongeza hatua ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuacha siasa na kushambulia chama chake.
Juzi vijana hao waliandamana wakiwa na lengo la kwenda makao makuu ya Chadema kabla ya kutawanywa na wananchi.
Tangu asubuhi ya jana, sauti ya Masaburi ilikuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya...