Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari wawili wakamatwa katika mikutano ya CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewabaini na kuwakamata polisi wawili waliokuwa kwenye mkutano wao wilayani Geita wakiwa wamevaa sare za chama hicho huku wakiwa na kadi za uanachama wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

askari wawili wapoteza maisha katika ajali chalinze leo


Na John Gagarini, Kibaha 
WATU wawili wamefariki dunia huku mmoja akijeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamishna Msaidizi mwandamizi wa polisi (SACP) Ulrich Matei  (pichani) amesema kuwa ajali hiyo ilihusisha lori na gari dogo.  Kamanda Matei alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Juni 16 mwaka huu majira saa 1:15 usiku eneo la Chamakweza kata ya Pera tarafa ya Chalinze wilayani...

 

10 years ago

Mwananchi

Wawili wakamatwa na bunduki

Polisi wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha, inawashikilia wafugaji wawili kwa kosa la kukutwa na bunduki aina ya Rifle wanayodaiwa kuitumia kufanya uhalifu wilayani hapa na Kenya.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAPORA FEDHA MIKOCHENI, WAKIMBIA, WAWILI WAKAMATWA

Gari lililoporwa likiwa na matundu ya risasi. Polisi wakiwa eneo la tukio. Mmiliki wa gari kushoto akitoa maelezo kwa polisi. Askari wa…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAWILI WAKAMATWA TUNDUMA KWA TUHUMA ZA UHALIFU


MNAMO TAREHE 24.04.2015 MAJIRA YA SAA 09:30 ASUBUHI HUKO MAENEO YA MTAA WA SOGEA KATIKA MJI MDOGO WA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA, VIJANA WAWILI WALIOTAMBULIKA KWA MAJINA YA 1. MATHEW ANGANILE MWAFONGO @ RASI (27) MKAZI WA TUNDUMA NA MWENZAKE AITWAYE SALEHE TABULEI SICHALWE (22) MKAZI WA MAJENGO TUNDUMA WALIKAMATWA NA POLISI BAADA YA WANANCHI WA ENEO HILO KUWATILIA MASHAKA KUWA NI WAHALIFU, HII NI KUTOKANA NA MVAO WAO AMBAO ULIKUWA UMEFICHA SURA ZAO.


VIJANA HAO WALIKUWA WAKITUMIA...

 

10 years ago

Habarileo

Waasi waua askari wawili wa JWTZ

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonWANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari

>Askari mwenye cheo cha sajini katika  Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo  katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa kuteka gari  na kupora  fedha na mali  katika eneo la Mlima wa Kawetere, Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani