NEWS ALERT: WAWILI WAKAMATWA TUNDUMA KWA TUHUMA ZA UHALIFU
MNAMO TAREHE 24.04.2015 MAJIRA YA SAA 09:30 ASUBUHI HUKO MAENEO YA MTAA WA SOGEA KATIKA MJI MDOGO WA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA, VIJANA WAWILI WALIOTAMBULIKA KWA MAJINA YA 1. MATHEW ANGANILE MWAFONGO @ RASI (27) MKAZI WA TUNDUMA NA MWENZAKE AITWAYE SALEHE TABULEI SICHALWE (22) MKAZI WA MAJENGO TUNDUMA WALIKAMATWA NA POLISI BAADA YA WANANCHI WA ENEO HILO KUWATILIA MASHAKA KUWA NI WAHALIFU, HII NI KUTOKANA NA MVAO WAO AMBAO ULIKUWA UMEFICHA SURA ZAO.
VIJANA HAO WALIKUWA WAKITUMIA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Dec
Polisi yashikilia wawili kwa tuhuma za uhalifu
POLISI mkoani Rukwa inashikilia watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya kihalifu mjini hapa.
11 years ago
MichuziNews alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria
11 years ago
Michuzinews alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam
Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...
10 years ago
MichuziNews alert: Watu sita akiwemo mwalimu wa shule ya msingi wakamatwa na mifupa ya albino Kahama
Taarifa zilizopatikana mjini Kahama zimeeleza kwamba, mwalimu huyo Bahati Kilungu Maziku (56), Msukuma na mkazi wa Mtaa wa Mbulu katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, amekamatwa akiwa na watu watano, wakiwemo waganga wa jadi watatu, katika harakati za kuuziana mifupa hiyo.Wengine waliokamatwa...
10 years ago
Michuzi01 May
NEWS ALERT: JK ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA
Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Vijana wakamatwa kwa uhalifu, Tanzania
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUHUSU TUHUMA ZA KASHFA NA MATUSI DHIDI YA KALDINARI PENGO
"Tumepokea malalamiko ya kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile WhatsApp na mingineyo kuna sauti...
9 years ago
Habarileo31 Dec
71 mbaroni kwa tuhuma za uhalifu
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema limewakamata watu 71, silaha nne na dawa za kulevya katika oparesheni ya mwishoni mwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman Kova alisema Desemba 24 mwaka huu, maeneo ya Ubungo Kibo, Kinondoni, Polisi walipata taarifa kutoka kwa mwananchi ambapo walifanikiwa kumkamata mfanyabiashara, Peter Massawe (25).
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Saba wakamatwa kwa tuhuma za ujambazi Z’bar