Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA BENDERA YA CHADEMA, MTITI WAIBUKA MSIBANI

Stori: Francis Godwin, Iringa
MTITI mzito umeibuka baada ya viongozi wa Chadema kudaiwa kutaka kufunika Bajaj na bendera ya chama hicho juu ya jeneza la  marehemu Abisai Mdesa ambaye alikuwa dereva bodaboda mjini hapa. Jeneza la marehemu Abisai Mdesa likiwa linaombewa Vuta nikuvute hiyo ilitokea hivi karibuni baada ya makada wa Chadema kufika katika chumba cha maiti kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa wakiwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA waibuka kidedea Masasi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Masasi Mtwara, imewaachia huru watuhumiwa 20 kati ya 21 waliyokuwa wakikabiliwa na kesi ya kula njama ya kutenda kosa, kuandamana bila kibali, kuharibu na kuchoma majengo...

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema ‘feki’ waibuka tena

??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

WATU kadhaa jana walikamatwa wakijaribu kufanya maandamano katika eneo la Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa.

Tukio la kukamatwa kwa watu hao lilitokea baada ya kubainika hawakuwa wanachama wa Chadema bali walitumwa na watu ambao hawajafahamika kwenda kufanya fujo katika ofisi hizo.

Wakizungumza na gazeti hili watu walioshuhudia tukio hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

LEMA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NA JOYCE MUKYA

SAM_4216Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akizungumza katika uchaguzi wa kumpata Mbunge pamoja na Mbunge viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA)jijini Arusha ambapo aliibuka kidedea kwa kura 255 sawa na asilimia 93.06% (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4210Mbunge viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Joyce John Mukya alipata kura 39 sawa na asilimia 73.6% katika kinyang'anyiro hicho hivyo kumfanya kuwa Mbunge wa viti maalum,aliwataka...

 

10 years ago

Michuzi

LEMA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NA JOYCE MUKYA ARUSHA


SAM_4216Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akizungumza katika uchaguzi wa kumpata Mbunge pamoja na Mbunge viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA)jijini Arusha ambapo aliibuka kidedea kwa kura 255 sawa na asilimia 93.06% (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4210Mbunge viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Joyce John Mukya alipata kura 39 sawa na asilimia 73.6% katika kinyang'anyiro hicho hivyo kumfanya kuwa Mbunge wa viti maalum,aliwataka...

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE EDWARD LOWASSA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA ANAYEBEBA BENDERA YA UKAWA

Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa.

Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).

Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu...

 

9 years ago

Michuzi

RAY MBOYA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NAFASI YA MEYA MANISPAA YA MOSHI


Waliokuwa washindani katika nafasi ya kuwania kuteuliwa na Chadema nafasi ya Meya wa manispaa ya Moshi,Francis Shio (kushoto) akimpongeza Raymond Mboya baada ya kutangazwa mshindi kwa kupata kura 16 dhidi ya kura 10 za Shio . Msimamizi wa Uchaguzi wa nafasi ya Meya ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Makabayo akizungumza jambo wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi huo. Meya wa Manispaa ya Moshi aliyemaliza muda wake na Mbunge wa sasa wa jimbo la Moshi mjini,Jafary...

 

10 years ago

Michuzi

JOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

`Aliekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari akizungumza namna alivyotekeleza ahadi zake katika kipindi kilichopita wakati wa mkutano Mkuu wa Jimbo uliofanyika kwenye Mji mdogo wa Usa River ambao  alichaguliwa bila kupingwa ili kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa River,Joshua Nassari alipata kura...

 

10 years ago

Michuzi

SATURDAY, JULY 25, 2015 MCHUNGAJI NATSE AWAAGA JIMBO LA KARATU ,QAMBALA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akizungumza kwenye mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya hosteli ya KKKT Karatu na kumpongeza mch.Natse kwa kuamua kuachia nafasi wanachama wengine.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akizungumza kwenye mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya hosteli ya KKKT Karatu na kumpongeza mch.Natse kwa kuamua kuachia nafasi wanachama wengine.Mshindi wa kura za maoni za Ubunge Jimbo la Karatu,Willy Qamballa akiwashukuru wajumbe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani