JOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

`Aliekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari akizungumza namna alivyotekeleza ahadi zake katika kipindi kilichopita wakati wa mkutano Mkuu wa Jimbo uliofanyika kwenye Mji mdogo wa Usa River ambao alichaguliwa bila kupingwa ili kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa River,Joshua Nassari alipata kura...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Mbunge Joshua Nassari ashiriki ujenzi wa chanzo cha maji kijiji cha Karangai katika jimbo la Arumeru Mashariki




10 years ago
GPL
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZ: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari (pichani) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku December 16 katika eneo la Doli lililopo katika kijiji cha UsaRiver kwenye gari aina ya Land cruiser lenye namba za usajili T 753...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE JOSHUA NASSARI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA MWANZO YA MAJI YA CHAI

10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
SATURDAY, JULY 25, 2015 MCHUNGAJI NATSE AWAAGA JIMBO LA KARATU ,QAMBALA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA



10 years ago
Vijimambo
MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASSARI NA AJALI YA HELKOPTA


Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha.
Father Kidevu Blog inatoa pole kwa Mbunge huyo na Wapigakura...
10 years ago
Vijimambo
MBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.




