MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari. Na Woinde Shizza, Arusha MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZ: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari (pichani) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku December 16 katika eneo la Doli lililopo katika kijiji cha UsaRiver kwenye gari aina ya Land cruiser lenye namba za usajili T 753...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE JOSHUA NASSARI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA MWANZO YA MAJI YA CHAI

10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Mbunge Joshua Nassari ashiriki ujenzi wa chanzo cha maji kijiji cha Karangai katika jimbo la Arumeru Mashariki




10 years ago
Vijimambo
MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASSARI NA AJALI YA HELKOPTA


Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha.
Father Kidevu Blog inatoa pole kwa Mbunge huyo na Wapigakura...
10 years ago
Michuzi
JOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI


11 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas
.jpg)
.jpg)
11 years ago
CloudsFM06 Jun
MBUNGE JOSHUA NASARI WA ARUMERU MASHARIKI KUFUNGA NDOA KESHO
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Mh Joshua Nassari kesho anatarajia kufunga ndoa na Bi Anande Nko katika kanisa la Pentekoste, Kilinga lililoko wilaya ya Meru ambako Mh Nassari alianzia masuala ya Kiimani ikifuatiwa na Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.
Kwa Mujibu wa Mh Nassari ,sherehe hizo zitakazoanza majira ya saa saba mchana watu wote wamealikwa wakiwemo ndugu, marafiki, Jamaa na wananchi jimbo la Arumeru...
10 years ago
Vijimambo
MBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.





10 years ago
Vijimambo