Mbunge Joshua Nassari ashiriki ujenzi wa chanzo cha maji kijiji cha Karangai katika jimbo la Arumeru Mashariki
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa amepanda kwenye Lori lililokuwalikibeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha maji kwa ajili ya kumwagilia katika kijiji cha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki , Joshua Nassari akishirikiana na wananchi katika kijiji cha Karangai kuweka mawe katika chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji.

Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

10 years ago
Michuzi
NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar jana ameungana na mamia ya wananchi katika kijijicha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo kufanya shughuli za awali za ujenzi wa chanzo kipya cha Maji kwa ajili ya umwagiliaji.
Zoezi hilo lilo anza majira ya saa 3 asubuhi na kumalizika majira ya saa 12 jioni ilishuhudiwa Mbunge Nassar akishiriki kazi za mikono ikiwemo kubeba mawe na kuayapanga katika eneo la mto kwa ajili ya ujenzi wa chanzo hicho.Akizungumza katika eneo hilo ,Nassar...

NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE JOSHUA NASSARI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA MWANZO YA MAJI YA CHAI
Na Woinde shizza, Arusha
Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya Maji ya Chai mkoani Arusha ameahirisha hadi Desemba 24, 2014 kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nassari (pichani), kwa tuhuma za kuharibu mali ya umma yenye dhamani ya shilingi laki mbili, pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya Desemba 15, mwaka huu Mahakama hiyo imemuachia Mbunge huyo baada ya kutimiza masharti ya dhamana, ikiwa ni wadhamini...

10 years ago
Michuzi
JOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

10 years ago
GPL
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari. Na Woinde Shizza, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku ...
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZ: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
Na Woinde Shizza, Arusha

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari (pichani) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku December 16 katika eneo la Doli lililopo katika kijiji cha UsaRiver kwenye gari aina ya Land cruiser lenye namba za usajili T 753...

11 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASSARI NA AJALI YA HELKOPTA

Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha.
Father Kidevu Blog inatoa pole kwa Mbunge huyo na Wapigakura...
11 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa achangia bati 100 ujenzi wa shule ya msingi lukwambe na zahanati ya kijiji cha mlangali
Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania