Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura

Kwa mara nyingine, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai kunasa kadi za kupigia kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeonya kwamba mtu yoyote haruhusiwi kutoa kadi yake ya kupigakura au taarifa za kadi hiyo kwa ndugu, jamaa au mwajiri wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Nec ifanyie kazi malalamiko ya wananchi

>Tumelazimika kwa mara nyingine katika muda wa siku tatu kuitahadhalisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kwamba kasoro zinazoendelea kujitokeza katika uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa mashine za kielektroniki (BVR) zinaweza kukwamisha kazi hiyo iwapo tume hiyo haitapata suluhisho la kudumu.

 

9 years ago

Mtanzania

Akamatwa na kadi 90 za kupigia kura

Na Elias Msuya

MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Salome Mahala, amekamatwa hivi karibuni katika Kata ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, akiandikisha namba za kadi za kupigia kura.

Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mwananchi wa kijiji cha Katumba wilayani humo, alisema Mahala alikamatwa Jumatatu asubuhi akiwa na kadi 93 alizokusanya kwa wananchi akidai anaandikisha wanachama wa CCM.

“Tumemkamata huyo mama na kumfikisha katika kituo cha polisi cha mkoa akiwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Waaswa kutouza kadi za kupigia kura

WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza kadi zao za kupigia kura na kukataa kurubuniwa ili waziuze, kwani wakifanya hivyo watashindwa kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema yadai kunasa kadi 36 za kupigia kura

Chadema Wilaya ya Bariadi kimedai kunasa kadi 36 za kupigia kura zilizokuwa zimetupwa kwenye gofu la nyumba moja mjini Bariadi.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU WALIOPOTEZA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA



OFISI Usambazaji na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Eliud Njaila akiwaonyesha waandishi wa habari vizimba vya kupigia kura siku ya uchaguzi. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
Akizungumza katika mkutano wa vyama vya siasa na NEC mjini Dodoma leo, Ofisa Mwandamizi wa tume hiyo William Kitebi, amesema watu hao hawataruhusiwa hata kama majina na...

 

9 years ago

Michuzi

JWTZ YAKANUSHA KUWANYANG'ANYA KADI ZA KUPIGIA KURA MAOFISA NA ASKARI WAKE


Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali Ngemela Lubinga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akikanusha jeshi hilo kuwanyang'anya kadi za kupigia kura maofisa na askari wake kama ilivyodaiwa na kiongozi mmoja wa chama cha siasa. Kulia ni Msaidizi wa Kanali Lubinga, Meja Joseph Masanja na kushoto ni Kapteni Swaleh Omari. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na...

 

9 years ago

Michuzi

ZITUNZENI KADI ZENU ZA KUPIGIA KURA MSIKUBALI KUZIBADILISHA NA KITU CHOCHOTE - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza shahada zao za kupigia kura na kukataa  kurubuniwa ili waziuze kwani kadi hizo ndizo zitazowawezesha kupiga kura na kuwachagua viongozi wanaowataka.
Mwito huo umetolewa  hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  vijiji vya Nyengedi na Mandawa vilivyopo   katika majimbo ya Mtama  na Ruangwa waliohudhuria mkutano wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani