Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yadai kunasa kadi 36 za kupigia kura

Chadema Wilaya ya Bariadi kimedai kunasa kadi 36 za kupigia kura zilizokuwa zimetupwa kwenye gofu la nyumba moja mjini Bariadi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wagombea Chadema wadai kunasa kadi feki za mpigakura

Dar es Salaam. Wagombea ubunge wa majimbo ya Kawe na Ubungo kwa tiketi ya Chadema, wamedai kubaini kadi 100 za wapigakura ambazo hazina taarifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.

 

9 years ago

Mtanzania

Akamatwa na kadi 90 za kupigia kura

Na Elias Msuya

MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Salome Mahala, amekamatwa hivi karibuni katika Kata ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, akiandikisha namba za kadi za kupigia kura.

Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mwananchi wa kijiji cha Katumba wilayani humo, alisema Mahala alikamatwa Jumatatu asubuhi akiwa na kadi 93 alizokusanya kwa wananchi akidai anaandikisha wanachama wa CCM.

“Tumemkamata huyo mama na kumfikisha katika kituo cha polisi cha mkoa akiwa na...

 

9 years ago

StarTV

Chadema yadai kukamata kadi feki za NEC.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa inakihujumu kwa kutengeneza kadi za ziada zaidi ya milioni 2 ili kukipa ushindi Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Akiongea na waandishi wa habari, mgombea ubunge  jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ameeleza kuwa wamepata kadi 100 kati ya kadi hizo ambazo zimewasilishwa kwao na baadhi ya wafanyakazi wa NEC wanaowataja kama ‘Wasamalia Wema’ waliowapa taarifa ya...

 

9 years ago

Habarileo

Waaswa kutouza kadi za kupigia kura

WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza kadi zao za kupigia kura na kukataa kurubuniwa ili waziuze, kwani wakifanya hivyo watashindwa kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeonya kwamba mtu yoyote haruhusiwi kutoa kadi yake ya kupigakura au taarifa za kadi hiyo kwa ndugu, jamaa au mwajiri wake.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU WALIOPOTEZA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA



OFISI Usambazaji na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Eliud Njaila akiwaonyesha waandishi wa habari vizimba vya kupigia kura siku ya uchaguzi. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
Akizungumza katika mkutano wa vyama vya siasa na NEC mjini Dodoma leo, Ofisa Mwandamizi wa tume hiyo William Kitebi, amesema watu hao hawataruhusiwa hata kama majina na...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura

Kwa mara nyingine, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai kunasa kadi za kupigia kura.

 

9 years ago

Michuzi

JWTZ YAKANUSHA KUWANYANG'ANYA KADI ZA KUPIGIA KURA MAOFISA NA ASKARI WAKE


Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali Ngemela Lubinga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akikanusha jeshi hilo kuwanyang'anya kadi za kupigia kura maofisa na askari wake kama ilivyodaiwa na kiongozi mmoja wa chama cha siasa. Kulia ni Msaidizi wa Kanali Lubinga, Meja Joseph Masanja na kushoto ni Kapteni Swaleh Omari. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani