KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAPEWA GARI LA MATANGAZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-R2pVnq6L-sY/VZLS_IQ1j_I/AAAAAAAHl60/R5d86NhRqlE/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
Balozi wa Japani nchini, Masaharu Yoshida( katikati) akikata utepe kuzindua gari la maalumu litakalotumika na kikosi cha usalama barabarani katika shughuli za uelimishaji, (kushoto) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani, Naibu kamishina wa Polisi(DCP) Mohamed Mpinga ( kulia )ni Msaidizi wa balozi, Bw Kazioshi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rCwZPPl68YQ/UyAK1XQFWGI/AAAAAAAFTA4/SGEA_uZgjZQ/s72-c/unnamed.jpg)
Vodacom yamzawadia askari wa kikosi cha Usalama Barabarani kwa kazi nzuri
![](http://2.bp.blogspot.com/-rCwZPPl68YQ/UyAK1XQFWGI/AAAAAAAFTA4/SGEA_uZgjZQ/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uEGWOZPeWg8/Vdx3FFqGUhI/AAAAAAAHz6M/wCeTqR7Y96U/s72-c/images.jpg)
KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATOA VIFAA VIPYA VYA KUPIMA MWENDO KASI
![](http://4.bp.blogspot.com/-uEGWOZPeWg8/Vdx3FFqGUhI/AAAAAAAHz6M/wCeTqR7Y96U/s200/images.jpg)
Aidha taarifa hiyo ilidai kuwa ili kuongeza ufanisi wa vifaa hivi wameelekeza askari wanaoshika vifaa hivyo wasivae sare...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gXVQTvMNlMQ/VIKncNIsafI/AAAAAAAG1hE/bEXmt9xxmlg/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA
![](http://4.bp.blogspot.com/-gXVQTvMNlMQ/VIKncNIsafI/AAAAAAAG1hE/bEXmt9xxmlg/s1600/unnamed%2B(22).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7oxPj1gJLkvXz9t*CHTVLSaOTOuuNcGeKMbQ-sVahshw*BhlDcW-umtXqE1QRZOjLz5KlUkElxcopalVJyTXeG*UQ8nWWNq/001.POLISI.jpg?width=650)
JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA
Afisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Steven Mwakibolo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia, akifuatilia kwa karibu zoezi hilo...
10 years ago
GPLKAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…
10 years ago
GPLWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI DAR LEO
 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi.  Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally...
10 years ago
VijimamboWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania