Wajawazito washauriwa kula vyakula vya kuongeza damu
IMEBAINIKA kuwa tatizo la upungufu wa damu kwa wajawazito mkoani Kagera hasa waishio vijijini na visiwani, linatokana na wengi wao na jamii kwa ujumla kutoelewa aina vyakula wanavyopaswa kula kuongeza damu mwilini. Hayo yalibainika mjini hapa baada ya baadhi ya wajawazito walio katika mradi wa ‘Mama ye’ wa kuokoa maisha ya mjamzito na watoto wachanga chini ya shirika la Evidence 4 Action kuzungumza na gazeti hili hivi karibuni.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Dec
  TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu
Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.
Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.
Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Handeni washauriwa kuhifadhi vyakula
10 years ago
Habarileo04 Jan
Wajawazito washauriwa kutotumia dawa za uchungu za kienyeji
WAJAWAZITO wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kutojifungulia nyumbani.
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Singida watahadharishwa na baa la njaa, washauriwa kutunza vyakula
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Edward Ole Lenga, akizungumza kwenye hafla ya utundikaji mizinga ya nyuki kimkoa zilizofanyika katika kijiji cha Nkungi wilayani Mkalama.Wa pili kulia walioketi ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na (wa kwanza kulia) ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama, James. Kushoto (aliyekaa) ni Katibu tawala mkoa wa Singida Liana Hassan.
Na Nathaniel Limu, Singida
KAIMU mkuu wa wilaya ya Singida, Edward Ole Lenga, amewataka wakazi wa...
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Punguza kula vyakula vinavyosindikwa viwandani
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Wajawazito Zanzibar washahuriwa kutumia vyakula vyenye lishe bora
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo.
Na Abdulla Ali na Mwanaisha Moh’d Maelezo-Zanzibar
Kina mama wajawazito wameshauriwa kutumia vyakula vyenye Lishe Bora ili kuepukana na matatizo yanayoweza kujitokeza wakati wa kujifungua kwao.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Mhe. Saleh Nassor Juma katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Amesema...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Dawa za kuongeza uchungu hatari kwa wajawazito
MATUMIZI ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YHCHqL_KJbI/Vnj4bzQ76kI/AAAAAAAAVSo/h4_ccLI1M30/s72-c/CRI.jpg)
VYAKULA VINAVYOONGOZA KUONGEZA AKILI KWENYE UBONGO
1.MAFUTA YA SAMAKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YHCHqL_KJbI/Vnj4bzQ76kI/AAAAAAAAVSo/h4_ccLI1M30/s400/CRI.jpg)
Samaki na Mafuta ya samaki ambayo ni muhimu katika mwili
Mafuta ya samaki ni muhimu kwa ubongo na mfumo wa ufahamu. Ulaji wa samaki wenye minofu kama samoni (salmon) na dagaa, utaweza kupata faida hizo kwa sababu aina hii ya samaki ina kiasi kingi cha mafuta ya Omega 3 ambayo huimarisha utendaji kazi na mawasiliano kati...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
‪#‎AfyaYako‬ Vyakula vinavyoongoza kuongeza AKILI kwenye ubongo
Ifuatayo ni orodha ya vyakula ambavyo vinaongoza kwa kuimarisha utendaji kazi mzuri wa ubongo:
1.MAFUTA YA SAMAKI
Mafuta ya samaki ni muhimu kwa ubongo na mfumo wa ufahamu. Ulaji wa samaki wenye minofu kama samoni (salmon) na dagaa, utaweza kupata faida hizo kwa sababu aina hii ya samaki ina kiasi kingi cha mafuta ya Omega 3 ambayo huimarisha utendaji kazi na mawasiliano kati ya ubongo na seli za mwili moja kwa moja.
2.PILIPILI KALI
Pilipili kali nayo huwa ni chakula kikubwa cha ubongo kwa...