Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito Zanzibar washahuriwa kutumia vyakula vyenye lishe bora

02 (2)

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo.

Na Abdulla Ali na Mwanaisha Moh’d Maelezo-Zanzibar       

Kina mama wajawazito wameshauriwa kutumia vyakula vyenye Lishe Bora ili kuepukana na matatizo yanayoweza kujitokeza wakati wa kujifungua kwao.

Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.  Mahmoud Thabit  Kombo wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Mhe. Saleh Nassor Juma katika ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.

Amesema...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TFDA kufuatilia vyakula vyenye virutubishi

Ofisa Habari wa TFDA, Gaudencia Simwanza MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imeandaa mpango wa ufuatiliaji wa ubora na usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwenye soko.

 

9 years ago

Michuzi

LISHE DUNI YACHANGIA VIFO VYA WATOTO NA KIMAMA WAJAWAZITO

 Na Woinde Shizza,Arusha.LISHE duni kwa kinamama wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano imekua chanzo cha vifo vya watoto wadogo pamoja na kinamama hao hali ambayo  hali ambayo inazorotesha maendeleo ya kiafya na kitaaluma hivyo watanzania wametakiwa kutumia lishe bora yenye vitamin na virutubisho ili kujenga jamii yenye afya bora kwa ustawi wa nchi.
Hayo yameelezwa na Naibu waziri wa Afya Dokta Kebwe S.Kebwe akitoa takwimu za vifo vya watoto na kinamama vinavyosababishwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Wajawazito washauriwa kula vyakula vya kuongeza damu

IMEBAINIKA kuwa tatizo la upungufu wa damu kwa wajawazito mkoani Kagera hasa waishio vijijini na visiwani, linatokana na wengi wao na jamii kwa ujumla kutoelewa aina vyakula wanavyopaswa kula kuongeza damu mwilini. Hayo yalibainika mjini hapa baada ya baadhi ya wajawazito walio katika mradi wa ‘Mama ye’ wa kuokoa maisha ya mjamzito na watoto wachanga chini ya shirika la Evidence 4 Action kuzungumza na gazeti hili hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyakula, vinywaji unavyokatazwa kutumia mara baada ya mazoezi

Mazoezi ni miongoni mwa vitu vinavyosisitizwa na wataalamu wa afya kwa ustawi wa mwili wa binadamu huku yakiwa na mchango mkubwa katika kuukinga mwili na maradhi mbalimbali

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.  Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.

 Wajumbe kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto wengi hawana lishe bora

WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.

 

9 years ago

Habarileo

Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora

WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai

Wazazi wametakiwa kutilia mkazo lishe na afya za watoto wao, kwani kwa kufanya hivyo kutawaongezea uwezo wa kujifunza shuleni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ulaji usiozingatia lishe bora ongezeko la kisukari’

ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani