TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA
.jpg)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJAMII YATAKIWA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA UKOSEFU LISHE BORA-MNG’ONG’O
Hayo ameyasema Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Masuala ya Lishe pamoja na Haki za Watoto,Lediana Mng’ong’o wakati akizindua ripoti lishe Duniani iliyokutanisha nchi mbalimbali kwa ajili ya kuweza kupata nguvu katika kupamba na lishe iliyofanyika leo katika Hoteli ya Protea,...
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Tanzania haijawekeza kwenye lishe bora ya watoto
BILL Gates tajiri mkubwa duniani ambaye ameanzisha Foundation (taasisi ya kutoa misaada) inayosaidia shughuli za maendeleo kama vile huduma za afya, kupambana na Ukimwi, kuimarisha kilimo, kuendeleza elimu na utafiti wa nishati endelevu.
Anaeleza kuwa alipoanza kutembelea vijiji vya Afrika ikiwemo Tanzania alikuwa anakisia umri wa watoto aliokutana nao. Mara kwa mara watoto aliodhani wana umri wa miaka saba au nane umri wao halisi ulikuwa miaka 12 au 13. Watoto wengi wamedumaa kwa ukosefu wa...
10 years ago
Michuzi
LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

11 years ago
Habarileo03 Aug
Watoto wengi hawana lishe bora
WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora
WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.
11 years ago
Mwananchi11 May
Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai
11 years ago
Michuzi24 Sep
REDIO 5 WAANDAA HAFLA YA LISHE BORA MONDULI



10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
‘Ulaji usiozingatia lishe bora ongezeko la kisukari’
ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana...
10 years ago
GPL
WATOTO WENYE MARADHI YA SARATANI WANUFAIKA NA LISHE BORA