Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REDIO 5 WAANDAA HAFLA YA LISHE BORA MONDULI

SAM_0154Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli SAM_0147Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akizungumza katika hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora

WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.  Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.

 Wajumbe kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto wengi hawana lishe bora

WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ulaji usiozingatia lishe bora ongezeko la kisukari’

ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai

Wazazi wametakiwa kutilia mkazo lishe na afya za watoto wao, kwani kwa kufanya hivyo kutawaongezea uwezo wa kujifunza shuleni.

 

10 years ago

Mtanzania

Tanzania haijawekeza kwenye lishe bora ya watoto

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif RashidBILL Gates tajiri mkubwa duniani ambaye ameanzisha Foundation (taasisi ya kutoa misaada) inayosaidia shughuli za maendeleo kama vile huduma za afya, kupambana na Ukimwi, kuimarisha kilimo, kuendeleza elimu na utafiti wa nishati endelevu.
Anaeleza kuwa alipoanza kutembelea vijiji vya Afrika ikiwemo Tanzania alikuwa anakisia umri wa watoto aliokutana nao. Mara kwa mara watoto aliodhani wana umri wa miaka saba au nane umri wao halisi ulikuwa miaka 12 au 13. Watoto wengi wamedumaa kwa ukosefu wa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Lishe bora ina nafasi katika maendeleo ya mwanafunzi

KWA mara ya kwanza kushiriki matembezi ya kuchangia chakula kwa watoto wa shule ilikuwa mwaka 2007, nilitembea kutoka ofisi za Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Matafa (WFP) karibu na ulipokuwa ubalozi wa Marekani hadi viwanja vya Karemjee.

Sikuchangia kiasi kikubwa cha fedha lakini niliamini moyoni kushiriki kwangu kulikuwa msaada mkubwa kwa watoto wa shule wanaoshinda na njaa, mpango huu hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuchangisha fedha kutoka kampuni na watu binafsi ili...

 

9 years ago

GPL

WATOTO WENYE MARADHI YA SARATANI WANUFAIKA NA LISHE BORA

Meneja Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania, Christina Chacha(wapili toka kushoto) akifurahia jambo na  mtoto Anna Rajabu anayelelewa na kupata matibabu  ya Saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Wakati wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walipowatembelea na  kuzindua mradi wa lishe bora kwa watoto hao wenye kusumbuliwa na maradhi hayo. Ambapo Taasisi ya Vodacom Foundation...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani