Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vifaa kudhibiti ebola vyawasili

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweVIFAA tiba vinavyotumika kutibu na kujikinga na ugonjwa wa ebola, vilivyoagizwa kutoka Marekani kujikinga na ugonjwa huo hatari, vimewasili nchini mwishoni mwa wiki iliyopita na kuhifadhiwa katika Bohari ya Dawa (MSD).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vifaa vya ebola vyawasili

SERIKALI imeanza kuingiza nchini vifaa vya kuwabaini watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa homa kali ya ebola ambavyo vitawekwa kwenye viwanja vya ndege pamoja na baadhi ya maeneo ya mipakani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege

Ebola - 4

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

 Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...

 

10 years ago

GPL

VIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI VYAWASILI NCHINI, KUANZA KUTUMIKA VIWANJA VYA NDEGE

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Kebwe Steven Kebwe (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi Dkt. Elias Chinamo moja ya kifaa (kamera) itakayotumika kupima dalili za ugonjwa wa Ebola kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa salama kwa kuuzuia ugonjwa huo kuingia nchini.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Vifaa vya kudhibiti nyuklia kufungwa

Kampuni ya Atomtek ya Uturuki inatarajia kuwekeza zaidi ya Sh135 bilioni nchini kwa ajili ya kufunga mitambo kwenye viwanja vya ndege, bandari na mipakani kudhibiti bidhaa zenye madhara yatokanayo na nguvu za kinyuklia.

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO kudhibiti Ebola Guinea

Kufikia sasa shirika la afya duniani WHO limethibitisha visa 122 vya homa ya Ebola huko Guinea na vingine saba katika nchi jirani ya Liberia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liberia yatangaza kudhibiti Ebola

Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ametangaza kwamba ugonjwa wa Ebola umedhibitiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Hatuna raslimali za kudhibiti Ebola

Mkuu wa UN anayesimamia kitengo cha kukabiliana na Ebola magharibi mwa Afrika amesema hakuna raslimali za kuuthibiti ugonjwa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Itachukua miezi sita kudhibiti Ebola

Mkuu wa shirika la Medicins Sans Frontieres, amesema kuwa itachukua miezi sita kuweza kudhibiti janga la Ebola Afrika Magharibi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani