Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vituo vya watoto ‘feki’ kufungwa

Dodoma. Serikali imesema haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria wote wanaotumia watoto wa mitaani kujinufaisha. Kauli hiyo ilitolewa jana na Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kitengo cha haki za mtoto na marekebisho ya tabia, Stephen Gumbo kwenye mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la kulea watoto la Kisedet mjini hap

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vituo‘feki’vya mfumo wa QT kufungiwa 2014

Vituo vinavyotoa elimu ya sekondari nje ya mfumo rasmi, maarufu kwa jina la QT kufungiwa iwapo havitajisajiliwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) ifikapo Januari 2014.

 

5 years ago

Michuzi

MAMA MAGUFULI AKABIDHI MISAADA KWA VITUO VYA KULELEA WATOTO VYA CHESHIRE NA NYUMBA YA MATUMAINI DODOMA


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli aakiongea baada ya kukikabidhi vitu mbalimbali kwa wawakilishi wa walezi na watoto wanaolelewa katika Kituo cha Nyumba ya Matumaini wakati wa hafla fupi ya kukabidhi misaada kwa vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Alhamisi Machi 19, 2020
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikabidhi vitu mbalimbali kwa wawakilishi wa walezi na watoto wanaolelewa katika Kituo cha Cheshire Home wakati wa hafla fupi ya kukabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

MAMA MAGUFULI AKABIDHI MISAADA KWA VITUO VYA KULELEA WATOTO VYA CHESHIRE HOME NA NYUMBA YA MATUMAINI JIJINI DODOMA

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ametoa wito kwa taasisi mbalimbali, mashirika, wafanyabiashara na watu wenye mapenzi mema kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji maalumu kwani kwa kufanya hivyo ni kutimiza amri kuu ya upendo ya Mwenyezi Mungu isemayo pendaneni kama mimi nilivyowapenda ninyi. 
 Mama magufuli ameyasema hayo wakati akitoa misaada mbalimbali kwa vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji maalumu vya Cheshire Home na Nyumba ya Matumaini katika hafla...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yafunga vituo vya watoto yatima

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imevifunga baadhi ya vituo vya kulelea watoto yatima katika maeneo mbalimbali nchini kwa kukiuka sheria ya uanzishwaji wake na wamiliki kujinufaisha binafsi.
Sambamba na hilo, pia imefuta kutoka kwenye orodha ya kutoa huduma ya kulea watoto yatima baadhi ya vituo vya aina hiyo vilivyo kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, huku vile vya mkoani Iringa vikiendelea kufanyiwa uchunguzi.
Tangazo la kufungwa na kufutwa kwa vituo hivyo...

 

10 years ago

Habarileo

Wakerwa na vituo vya watoto kufunza kareti

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWANANCHI mkoani Dodoma wamekuwa na maoni tofauti kuhusu hatua ya Jeshi la Polisi nchini, kuweka chini ya ulinzi vituo vitatu vya kulelea watoto vilivyokuwa vikifundisha dini ya Kiislamu na kareti.

 

9 years ago

StarTV

Wamiliki Vituo Vya Watoto Yatima watahadharishwa kuepuka ulaghai  

 

Wamiliki wa Vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu wametahadharishwa juu ya baadhi ya  vituo hivyo kutumika  kwa maslahi binafsi badala ya kutumika kuwasaidia watoto wenye uhitaji.

Tahadhari hiyo imekukuja huku serikali ikieleza kutowafumbia  macho wamiliki wote wa vituo hivyo  na wakibainika watachukuliwa hatua za kisheria.

Hayo yameelezwa na Afisa Ustawi wa  jamii Mkoa wa Arusha  Blandina Nkini wakati wa utoaji wa tuzo za vituo bora vya malezi ya watoto...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Kairuki Atoa Misaada Vituo vya Watoto Yatima na Walemavu Same


Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu akikabidhi baadhi ya misaada katika kituo cha kulelea watoto yatima kama picha inavyoonekana
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu
Waziri Angela Kairuki akikabidhi vifaa mbalimbali kwa watoto pamoja pampers na sabuni pamoja na vyakula katika...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa 20m/- kufuturisha Vituo vya watoto yatima nchini

Airtel Tanzania imetoa Tsh Milioni 20 kwa Jumuiya ya Waislamu kupitia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa lengo la kufuturisha vituo kumi vya kulelea watoto yatima nchini. Akikabidhi hundi kwa Naibu katibu Mkuu wa Bakwata Meneja Huduma za Jamii wa Airtel Hawa Bayumi alisema vituo vitakavyopata msaada huo ni pamoja na Kigogo Fresh orphanage cha Ilala, IHSANI orphanage cha Temeke, Almadina center kinondoni.Pia kwa Arusha ni Kiboa Islamic orphanage, Nusuru yatima orphanage Bukoba,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa mkoa wa Kilimanjaro, Yolanda Shayo atembelea vituo vya watoto yatima

DSC03988

Mrembo aliebuka kidedea kwenye shindano la kumsaka barozi wa mkoa wa Kilimanjaro 2015, Yolanda Shayo (pichani) ametembelea vituo vya watoto yatima katika eneo la Mamba Marangu Moshi vijijini.

Shughuli hiyo ilifanyika mapema jana ambapo mrembo huyo alitembelea vituo vinne ambavyo ni Msoroe, Mrieni,Kikoro na Kotela kwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto na kula nao chakula cha pamoja kilichoandaa kwaajili ya watoto hao.

Baadhi ya vitu vilivyotolewa na mrembo huyo ni kalamu,madaftari,rula na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani