Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola kudhibitiwa mipakani

MAOFISA wa idara mbalimbali za Serikali zikiwemo za Uhamiaji, Polisi na Usalama wa Taifa kwa nchi za Tanzania na Kenya wameweka mikakati ya pamoja katika mipaka ya Isebania na Sirari katika kudhibiti wageni ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vifaa vya ebola kufungwa mipakani

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inatarajia kufunga vifaa vya kupimia joto (Thermal Scanner) katika mipaka ya nchi ili kudhibiti kuenea ugonjwa wa ebola ambao umeelezwa umeingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Ebola kudhibitiwa kwa miezi mitatu

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayehusika na ugonjwa wa Ebola amesema ugonjwa huo unaweza kudhibitiwa kwa miezi mitatu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania haina ugonjwa wa EBOLA, udhibiti viwanja vya ndege na mipakani waimarishwa

SONY DSC

Mtaalam wa ufuatiliaji wa magonjwa ya binadamu wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kuhusu historia ya ugonjwa wa Ebola, Virusi vyake , dalili na namna unavyoenea wakati wa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo jijini Dar es salaam.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

Imeelezwa kuwa Tanzania kwa sasa haina  raia yeyote  aliyeingia nchini kutoka mataifa mengine aliyebainika kuwa na maabukizi ya Virusi vya ugonjwa wa Ebola kufuatia zoezi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Foleni za magari mipakani

Kwa wafanyabiashara wanaosafiri katika nchi mbalimbali barani Afrika, ni kawaida kuona misururu mirefu katika mipaka ya nchi, huku baadhi ya maeneo, foleni hizo husalia hata kwa wiki kadhaa.

 

9 years ago

Habarileo

Waishio mipakani waahidiwa neema

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameahidi kuimarisha biashara baina ya Kenya na Tanzania ili wananchi wa mipakani wanufaike na biashara hizo na kutatua kero zao, ikiwemo ukosefu mkubwa wa maji katika mji wa Tarakea, huku akiahidi kuondoa ushuru kwa biashara ndogo za mipakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yaanza ujenzi vituo mipakani

WIZARA ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa vituo vya utoaji huduma kwa pamoja mipakani vikavyosaidia kupunguza gharama za usafirishaji na kuondoa urasimu uliokuwepo. Akizungumza na...

 

11 years ago

Habarileo

Maandamano kudhibitiwa

Vita KawawaKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama imeishauri Serikali, iandae Muswada wa Sheria utakaoweka utaratibu mahsusi wa watu kuandamana kwa kuzingatia, siku, muda na mahali ili kuondoa usumbufu kwa jamii kutokana na maandamano yasiyo rasmi.

 

10 years ago

Mwananchi

Zambia, Tanzania sasa kuondoa kero mipakani

Serikali za Tanzania na Zambia zimeahidi kuboresha utendaji kazi kwenye vituo vya forodha katika mipaka ya Tunduma na Nakonde ili kuwawezesha wananchi kufanya biashara kwa faida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani