Wizara yaanza ujenzi vituo mipakani
WIZARA ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa vituo vya utoaji huduma kwa pamoja mipakani vikavyosaidia kupunguza gharama za usafirishaji na kuondoa urasimu uliokuwepo. Akizungumza na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAENDELEO YA UJENZI WA VITUO VYA UTOAJI HUDUMA KWA PAMOJA MIPAKANI (ONE STOP BORDER POSTS)

.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Wizara yafungua vituo vya NACTE mikoani
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) imefungua ofisi tano za kanda ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara kuongeza ufanisi...
11 years ago
Habarileo28 Mar
JK ataka busara ujenzi vituo vya afya mijini
Anna Makange,Tanga RAIS Jakaya Kikwete ameutaka uongozi wa halmashauri ya jiji la Tanga kuweka mpango bora wa ujenzi wa vituo vya afya kwa kuziunganisha kata huku wakizingatia idadi ya watu waliopo kwenye eneo husika.
11 years ago
Michuzi.jpg)
WARSHA YA KIMATAIFA KUHUSU MAENDELEO, MIUNDO MBINU NA VITUO VYA MAJI YAANZA RASMI LEO JIJINI DAR
.jpg)
5 years ago
Michuzi
B0DI YA AFYA YARIDHISHWA NA UJENZI WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA
11 years ago
Mwananchi29 Sep
Wizara ya Elimu yaanza vizuri Shimiwi
5 years ago
MichuziCHINA YAANZA UJENZI UWANJA WA MPIRA UTAKAOGHARIMU DOLA BILIONI 1.7
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WAKATI vizuizi vikipungua nchini China ikiwa ni sehemu ya kupambana na virusi vya Corona (Covid -19) klabu moja ya mpira wa miguu nchini humo imeeleza nia yake ya kurudisha mambo katika hali ya kawaida.
Klabu ya Guangzhou Evergrande imetangaza kuanza kazi ya kujenga uwanja wa mpira utakaobeba watazamaji 100,000, na utakua uwanja mkubwa zaidi ulimwenguni.
Imeelezwa kuwa uwanja huo umejengwa katika umbo la ya aina ya lotus utagharimu dola za kimarekani...
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Mambo yaanza kumnyookea Ray C,kuanza ujenzi wa mjengo wake mpya
Mambo yameanza kumnyookea msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ baada kuonyesha picha ya kiwanja chake kipya kwenye mtandao huku akisema kuwa ataanza ujenzi muda si mrefu.
Aliandika hivi kwenye Instagram….Madawa yalinipotezea nyumba yangu ona sasa naanza...
5 years ago
Michuzi
TFF YAUNDA KAMATI MPYA YA KUSIMAMIA MIRADI UJENZI VITUO VYA MICHEZO KIGAMBONI NA TANGA

Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan,...