Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo yaanza kumnyookea Ray C,kuanza ujenzi wa mjengo wake mpya

Mambo yameanza kumnyookea msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ baada kuonyesha picha ya kiwanja chake kipya kwenye mtandao huku akisema kuwa ataanza ujenzi muda si mrefu.

Msanii huyo aliandika kuwa madawa ya kulevya yalimpa hasara kubwa ikiwemo kuuza nyumba yake ya zamani ambayo ilikuwa imeisha kabisa lakini sasa anamshukuru Mungu anatimiza ndoto yake ya kuanza ujenzi wa nyumba nyingine mpya.
Aliandika hivi kwenye Instagram….Madawa yalinipotezea nyumba yangu ona sasa naanza...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ray C na 2015: Ni ujenzi wa mjengo mpya na tour mikoa 25

Rehema Chalamila aka Ray C amedai kuwa hali ya kifedha inamwendea vyema baada ya kuanza utaratibu wa ujenzi wa nyumba yake mpya maeneo ya Bunju jijini Dar es Salaam. Akiongea na Bongo5 Jumatano hii, Ray C amesema huu ni wakati wake wa kuanza kurudisha kila alichopoteza ikiwa pamoja na kurudi kwenye maisha ya familia kama […]

 

9 years ago

GPL

RAY AMPANGIA CHUCHU MJENGO MPYA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata Madai mazito! Staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kuonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kumpangia mwandani wake, Chuchu Hans mjengo mpya wenye hadhi. Mjengo unaodaiwa kupangishiwa Chuchu Hans. Ubuyu kutoka kwa mtu wa karibu wa mastaa hao ulinyetisha kuwa Ray alifikia hatua hiyo baada ya mkataba wa nyumba aliyopangishiwa Chuchu awali maeneo ya...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO ATUPIA MTANDAONI MJENGO WAKE MPYA WA ATLANTA

Davido. STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido ametupia mtandaoni picha ya mjengo wake mpya uliopo huko Atlanta nchini Marekani. Davido ambaye anajiandaa kuachia albamu yake ya pili, alitupia picha hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram jana. Staa huyo bado yupo nchini Marekani na kupitia picha hizo aliandika kuwa mtoto wake wa kike atakuwa na chumba chake kikubwa ndani ya… ...

 

10 years ago

Bongo5

Idris Sultan atoa jibu kuhusu mjengo wake mpya kama amenunua au amepewa

Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu. Idris amesema mjengo huo ni wa kwake, na ni zawadi kutoka kwa aliyekuwa boss wake: “Sasa hivi nina status flani kwahiyo natakiwa kujiweka vizuri kwasababu ni kioo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5

Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]

The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

MAMBO YAANZA KUWA MSWANO UKUMBI MPYA WA CCM MJINI DODOMA

Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wanahabari waliotembelea Ukumbi huo leo. Muonekano wa ndani...

 

9 years ago

Bongo5

Ujenzi wa mjengo wa Jux wakwama

Maponda

Mkali wa ‘One More Night’ Jux ameeleza sababu ya kukwama kuendelea kwa ujenzi wa mjengo wake wa kifahari ambao miezi kadhaa aliuonesha kwenye mitandao ya kijamii.

12331683_1007956949264144_2112653779_n

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa kwa sasa amesimama kidogo kuendeleza mjengo wake na kuwekeza pesa katika kufanya muziki ikiwa ni pamoja na kuendelea kufanya video zenye ubora.

Maponda

“Unajua kwa sasa kidogo nimesimama kuendeleza nyumba hivyo, ipo siku watu watakuja kuona mjengo ukiwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Samsung yazindua simu mpya ya Galaxy S5 ikilenga mambo muhimu ya wateja wake

heart rate

Meneja wa Simu za mkononi wa Samsung Tanzania , Bw. Silvester Manyara, akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi simu mpya inavyopima mapigo yake ya moyo. Pembeni yake ni Bw. Kishor Kumar, Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania.

samsung team

Team ya Samsung Tanznia Bw. Silvester Manyara, Bw. Jang na Bw. Kishor Kumar kwenye picha ya pamoja wakionyesha Simu mpya ya Galaxy S% iliyozinduliwa rasmi hapa Dar es Salaam.

waandishi wa hbr pamoja na wananchi

Waandishi wa habari pamoja na wateja wakishuhudia uzinduzi wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuachana na Nay Wa Mitego,mambo yamnyookea Siwema,aanika mkoko wake mpya.

Mambo yameanza kumnyookea mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego,Siwema baada ya kuanika mkoko wake mpya mtandaoni.

Nay Wa Mitego na Siwema wapo kwenye mgogoro hadi kufikia hatua msanii huyo kumchukua mtoto wake ambaye hivi sasa analelewa na mama yake Nay. Kupitia mtandao wa Instagram Siwema aliwahi kulalamika kuwa Nay Wa Mitego alimrudisha nyuma kimaendeleo.

Baadhi ya maneno hayo yalisomeka hivi….leo unatangaza umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani