Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idris Sultan atoa jibu kuhusu mjengo wake mpya kama amenunua au amepewa

Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu. Idris amesema mjengo huo ni wa kwake, na ni zawadi kutoka kwa aliyekuwa boss wake: “Sasa hivi nina status flani kwahiyo natakiwa kujiweka vizuri kwasababu ni kioo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kama ulitamani kumuona Ronaldo akiwa kocha, jibu lake lipo hapa kuhusu hilo

cristiano-ronaldo_7643b64nsbft1qzklr9o12n0l_0

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Natambua wadau wengi wa michezo wamekuwa wakitamani kumuona siku moja mchezaji bora wa dunia mara tatu, Cristiano Ronaldo (pichani) akiwa kocha wa klabu yoyote, jibu lipo hapa.

Akizungumza na mtandao wa michezo, El Mundo, Ronaldo alisema kuwa hana mpango wa kuja kuwa kocha na hivyo kumaliza maswali ambayo wadau mbalimbali wa michezo wamekuwa wakijiuliza.

Ronaldo alisema anataka kustaafu kucheza soka ndani ya miaka 5 hadi 10 ijayo lakini hana mpango wa kuwa kocha...

 

10 years ago

Bongo5

Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee

Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]

 

10 years ago

GPL

DAVIDO ATUPIA MTANDAONI MJENGO WAKE MPYA WA ATLANTA

Davido. STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido ametupia mtandaoni picha ya mjengo wake mpya uliopo huko Atlanta nchini Marekani. Davido ambaye anajiandaa kuachia albamu yake ya pili, alitupia picha hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram jana. Staa huyo bado yupo nchini Marekani na kupitia picha hizo aliandika kuwa mtoto wake wa kike atakuwa na chumba chake kikubwa ndani ya… ...

 

10 years ago

CloudsFM

Mambo yaanza kumnyookea Ray C,kuanza ujenzi wa mjengo wake mpya

Mambo yameanza kumnyookea msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ baada kuonyesha picha ya kiwanja chake kipya kwenye mtandao huku akisema kuwa ataanza ujenzi muda si mrefu.

Msanii huyo aliandika kuwa madawa ya kulevya yalimpa hasara kubwa ikiwemo kuuza nyumba yake ya zamani ambayo ilikuwa imeisha kabisa lakini sasa anamshukuru Mungu anatimiza ndoto yake ya kuanza ujenzi wa nyumba nyingine mpya.
Aliandika hivi kwenye Instagram….Madawa yalinipotezea nyumba yangu ona sasa naanza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mpya Kuhusu Wema na Idris, Picha Zajieleza

UBUYU: Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu   akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan  hivi juzi kati wameonekana  wakifanya vitendo  ambavyo vimepelekea watu kuhisi kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano.

Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, wawili hao walinaswa wakiyafanya hayo  kwenye Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar walipokuwa wamekwenda kushuhudia shoo kali ya mpambano kati ya Bendi za The African Stars ‘Twanga Pepeta’ na FM Academia ‘Wazee...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

9 years ago

Bongo5

Idris Sultan: Mimi na Samantha tumeachana

IdrisSamantha1

Idris Sultan na Samantha wa Afrika Kusini hawapo tena pamoja – kwa mujibu wa mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014.

IdrisSamantha1

Akiongea Jumapili, November 15 kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Idris alithibitisha kuwa uhusiano wao umeshavunjika.

Samantha na Idris walikuwa wamefika mbali zaidi kwenye uhusiano wao kiasi cha mrembo huyo waliyefahamiana kwenye shindano hilo kuja Tanzania na kuishi na Idris kwa wiki kadhaa.

11351782_200458186953510_849931754_n
Idris akiwa na mtangazaji wa kipindi cha The Playlist, Lil Ommy

“It’s...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani