UN:Ebola kudhibitiwa kwa miezi mitatu
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayehusika na ugonjwa wa Ebola amesema ugonjwa huo unaweza kudhibitiwa kwa miezi mitatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Katiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu
11 years ago
KwanzaJamii20 Jul
Mtoto afichwa uvunguni kwa miezi mitatu
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Ajali zaua watu 860 kwa miezi mitatu
KOKU DAVID NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES ALAAM
JESHI la Polisi nchini, limesema Watanzania 866 wamefariki dunia katika kipindi cha miezi mitatu, kutokana na ajali za barabarani.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga alisema kuanzia Januari hadi Machi mwaka huu, ajali 2,116 zimetokea katika maeneo mbalimbali nchini.
Alisema katika ajali hizo, watu 866 wamepoteza maisha na wengine 2,363 kujeruhiwa, ambao baadhi yao...
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Cazorla miezi mitatu nje ya uwanja
![maxresdefault](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/maxresdefault-300x200.jpg)
KIUNGO wa Arsenal, Santi Cazorla, atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na kusumbuliwa na goti.
Mchezaji huyo alipata maumivu ya goti katika mchezo dhidi ya Norwich, ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1.
Hata hivyo, Cazorla alionekana kuwa imara katika dakika zote 90 za mchezo huo, japokuwa alikuwa tayari ameumia goti, ila baada ya kumalizika kwa mchezo hali ilionekana kubadilika.
Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja hadi Machi,...
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Albamu mpya ya Barnaba kuandaliwa miezi mitatu
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’, amesema atatumia muda wa miezi mitatu kundaa albamu yake mpya.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Barnaba alisema matarajio yake ni kuingiza sokoni albamu hiyo kabla ya kumalizika kwa mwaka huu.
“Unajua tangu nilipoachia ile albamu ya kwanza imepita miaka miwili, nadhani ni muda mwafaka wa kuandaa kitu kingine kwa mashabiki zangu,” alisema Barnaba.
Barnaba alisema shuguli ya kuandaa albamu...
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Jacqueline Wolper Ana Mimba ya Miezi Mitatu?
Jacqueline Wolper ni mama kijacho? – Kwa maneno yake mwenyewe aliyoandika Instagram wakati akiwapongeza Diamond na Zari kwa kupata mtoto wao wa kwanza, Latiffah.
“Congratulations dad and mom MTV, God is always great, Congrats Wasafi President for the little princes. Mine is on the way 5 months to go!!,” ameandika Wolper.
“Sema mtoto wa kwanza bwana unaweza kujikuta unataka kum’beba wewe tuu na kazini usiendee, utunyime mashabk haki yetu ukaacha kututungia viburudisho ukawa unalea. Hongera...
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Kocha Majimaji ataka apewe miezi mitatu
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Mtoto wa miezi mitatu mwathirika dawa za kulevya
9 years ago
Bongo531 Oct
Apple yauza iPhone milioni 48 katika miezi mitatu
![iPhone_7_illustration_Yasser_Farahi_1000e](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/iPhone_7_illustration_Yasser_Farahi_1000e-94x94.jpg)